What love,what respect,what appreciation,
this is yanga bro love and respect🫡🫡🫡
2026-08-25 00:45:30
0
official_mfariji_🙊_023_@ :
ila yanga Basi tyuuh sifa tyuuuuh
2026-08-24 18:00:47
13
Abduqfat_Tz🚥🇰🇪 :
Alie kuloga mwambie kilichobaki aloge deni la Taifa tusidaiwe 😍
2026-08-24 17:36:26
29
wegesa the boss lady 🥰🥰🤩😘 :
wahooooo🥰🥰
2026-08-24 19:40:54
0
sophiajumamatias :
walijidai kumuumiza wakadhani atashuka kiwango kumbe ndo walikua wanamuongezea utundu
2026-08-24 17:48:05
11
Innocent 360 :
asante
2026-08-24 18:12:59
1
Rosekhan :
apewemauwa yake kajitahidi mno yaokwasi💚💚💚💚💚
2026-08-24 18:06:52
7
Husna🥰 :
Upendo nilionao Kwa huyu mtu hata ex wangu hakuwahi kupata🥰🥰💚
2026-08-24 19:18:48
4
Bwenzy0444 :
katika kosa walofanya TFF kutofany mpango wa kumshawishi mwamba huyu awe raia wa Tz
2026-08-24 18:12:04
6
Emma Raphael :
yao kwasi ni zaidi ya hakimi
2026-08-24 18:14:10
4
user5186882828218 :
ivi maboc wetu wa yanga ndowanahalibu mpilavile 😄😄😄😄
2026-08-24 19:31:22
2
king evala :
kaka anajua huy
2026-08-24 17:46:49
3
Stella Mnzava :
yao saivi anatisha
2026-08-24 18:31:31
2
jemaboybarinaba97 :
uhakika aziokote maana kz yake nimoto sana
2026-08-24 18:15:55
2
Mss Chiku :
Vijana wa MANQOBA MNGQITHI achilia 🔥 kwa hawa vijana wananikosha shana mungu awalinde na kila husda zote😭😭nawapenda hadi nashindwa kueleza aki mungu nilindie hawa watu🙏🙏🙏
2026-08-24 20:43:16
1
sadick :
nihalali yake au vp
2026-08-24 17:40:20
2
spy tozy :
mtu huyo
2026-08-24 17:39:09
1
Yosina Sibuti :
YAO NI NAMBA NYINGINE AISEE😂😂👏🏾🙌🙌🙌🙌🙌🙌
2026-08-24 20:17:24
1
Neeh💎 :
Ila Yao jmn nampenda bule
2026-08-24 19:21:11
1
🌚🌚🌚chief :
hakika Yao kwasi anastaili sana hyo zawadi mna mchango wake uwanjan ni mkubwa sana , 💚💚💚💚💚
2026-08-24 19:24:46
1
Maufi zombie :
safì sanaaa maana man of the mech hajawa gem ya tatu now
2026-08-24 18:31:45
2
Ashry nashon :
hyo iko poa kwakaz anay fny
2026-08-24 18:04:01
3
Dev Max million :
😁😁😁 kaz nzr yao hongera kaka
2026-08-24 17:39:00
2
Jeladi Kushoka :
kweri kafanya kaz
2026-08-24 18:08:35
1
MKWARBU O :
ila kucheza yanga laha ndo maana wachezaji wengi wakitoka yanga wanaumia
2026-08-24 18:14:57
1
To see more videos from user @yangascb, please go to the Tikwm
homepage.