isinidanganye me mbona nimedanga nikanunua cherehani dada...😂
2026-08-25 16:21:07
5
Annah Gilbert :
Asant mama 🥰🥰
2026-08-25 13:29:19
0
Aisha :
Asante mama🙏❤️❤️
2026-08-25 16:51:26
2
swaum :
Iv kudangaa na kujiuzaa nimechokaa kitu kimojaa??
2026-08-25 12:54:35
0
fred mc🆓♍️ :
Ninacho washauli mabint msimsikilize mtu kwenye maisha kila mtu na njia yake anae sema usidange yeye Ana danga na kajipata uzeni Kama vinauzika mm Kama customer namba 1 😀
2026-08-25 20:42:51
1
JOYCE SANGA :
Kweli
2026-08-25 18:39:52
1
getumangi :
asante sana dada waambie kbs alafu sisi tunaofanya kazi za ndani uarabuni wanatucheka
2026-08-25 17:09:24
1
Jackline Changwila :
mbona,👏🏼👏🏼👏🏼👏🏼wewe,
2026-08-26 00:22:13
0
salumu ibrahim :
watu hawa fanyi kwakupenda bari shida tu
2026-08-26 02:41:03
0
Peter soudy :
wambie ata wewe dada angu kipenz,,,watunzee ivedeo wata kukumbuka badae ,,,
2026-08-25 21:04:35
1
emmylizzy :
mimi nimejenga😂
2026-08-25 20:48:47
0
johmastory :
Piptida anatuwakilisha
2026-08-25 22:06:12
0
happy cute :
Mimi najiuza hapa nipate pesa ya gari mungu nione
2026-08-25 19:59:51
0
Jose mbuzi jr :
Aiseee Dada unacho kiongea saiii hahahahaha Daaaah Aisee Watu fudenge tuna waona tu 👍
2026-08-25 23:50:38
0
call me official_ M 🥰🇹🇿🎯 :
mshukuru mungu ulipo hujui makusudi ya mungu
2026-08-25 22:16:48
0
Mary Mkoma :
huo ndo ukweli my dia,ndo maana huwa nakupenda😂🌹
2026-08-26 01:14:27
0
fetty :
kweli kabisa nimekupenda bure
2026-08-25 11:52:21
5
Mussa :
mungu akusimamie dada endelea na hii kampen
2026-08-25 17:03:03
0
Aisha 🥀🥀 :
umeongea ya maana Sana 🤝🥰
2026-08-25 18:49:33
0
Sarha officials @💕💕 :
Sio kila anaedanga kapenda fatilia maisha yake yanyuma ndio utajua bibi
2026-08-26 01:36:02
0
Mwajuma Hamdu :
nikweli kabisa
2026-08-25 17:51:00
0
zaituni :
wengine tunalla pasamani na tumejenga sio wote
2026-08-26 04:29:56
0
Masudi :
umeongea pointi sana dada
2026-08-25 11:19:23
0
To see more videos from user @davi_lee_gas_point, please go to the Tikwm
homepage.