si lazima but niambie in Kenya security analipwa mshahara ya pesa ngapi ? house help analipwa pesa ngapi,now on matters of survival, you can survive if you have financial leverage, you need to be financial wise and you will achieve so many things
2026-08-25 14:31:39
2
sally mbeyu :
sio, lazma, hata wengi Wana kuja gulf Wana fail tu
2026-08-25 09:44:27
3
@ God's favouritedaughter💓 :
Kila mtu na maisha yake adi kenya kuna watu hawako same Acha kusema tujibu mtu ajipange vile anataka
2026-08-25 13:29:12
2
ciril khalay :
no bt kila mtu God amemtegenezea place ya rizk yake ndo maana kuna wale wanakuja gulf wanamake in life na wale bado hawamake na badaye wanafaulu wakiwa nyumbani
2026-08-25 09:12:53
1
Mary ann :
kenya mtu anaeza lipwa 50+😂😂msichana tutakaa huku hadi kieleweke
2026-08-25 13:35:32
0
Rapudo baby😘😘😘 :
inategemea mama Kila mtu ako na break through yake
2026-08-25 11:16:28
0
Becky Wesy :
tujibu nini kasichana kila mtu ako na options zake imagine
2026-08-25 12:33:10
0
rose 🌹 wamukangu :
tunaanzia gulf coz ukiambiwa upeane pesa ya commission ya majuu hauna so lazima ukanyange gulf kwanza then
2026-08-25 13:15:16
0
judithogwuma93 :
mwambie kila mmoja akanyage line yake hata Coach Patrick alirudi alipoona ako sawa wakati ikifika tutakuja wengi wetu ni heartbreak tuko mrando
2026-08-25 11:46:50
2
dorryshah :
anauliza na alikua team gulf inafaa atujibu pia 🤣🤣
2026-08-25 18:34:47
1
Hanisa John :
Sasa tutamjibu aje
2026-08-25 13:13:35
0
To see more videos from user @tridracelluyanje, please go to the Tikwm
homepage.