@bingwawamagariused: USIPIGWE TENA TAJIRI! NGOJA LEO NIWAPE ELIMU UTOFAUTI KATI YA SUBARU FORESTER YENYE TURBO NA NON-TURBO😇

BINGWA WA MAGARI USED
BINGWA WA MAGARI USED
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 24 August 2026 18:21:30 GMT
30990
1204
37
57

Music

Download

Comments

mr.punguzo.connec
Mr Punguzo Connection :
nimekuelewa inshallah mwaka huu naingia road tena kupitia wwe
2026-08-24 18:34:35
4
camy___15
Camy___15 :
Io turbo n nn🥺
2026-08-24 18:57:56
1
tpuu65
tpuu :
bigwa🔥🔥
2026-08-24 19:44:17
0
evarestshirima
evarestshirima :
shemeji hapo sasa nimekuelewa big up sana
2026-08-24 20:40:20
1
bossgift011
Bossgift01 :
sasa na Subaru xv
2026-08-24 20:04:06
0
mawazoproka
mawazo :
Trubo tena
2026-08-24 19:48:31
0
aronmdemu1212
Aron Mdemu :
Tajiri kwani hiyo yenye turubo imekukosea nini?😂😂😂
2026-08-24 19:29:05
0
gotsavd
gotsavd :
uelewa wangu ni kwamba, yenye turbo inakunywa mafuta zaidi ya isiyo na turbo, designed kwaajili ya high performance tofauti na SJ5 ambayo ni economical kama nmekosea mnirekebishe
2026-08-24 21:59:55
0
nassor_al.ferouz
vintage :
hii watu kukimbia turbo ni swala la mafuta au kuna mengine?😅
2026-08-24 22:53:27
0
immastephen
ImmaStephen. :
pia exhaust mbili ni turbo
2026-08-24 22:16:29
0
we_care_cosmetics7
WE CARE COSMETICS :
japo sina ela ya kununua gari kwa sasa Asante sana TAJIRI 😁
2026-08-24 20:08:47
0
hack2edbygb021
masoud tz$ :
jaman mu like ili nije kupata elimu ya comment section
2026-08-24 18:38:43
1
mangi8910
Mike🦍 :
Mkuu umeamua kua fundi sasa
2026-08-24 19:36:34
0
kanyenyemo
Nehemia William :
sante bingwawetu
2026-08-24 18:32:23
0
momobike26
Momomagari26 :
Na yenye turbo inakua na exsoz mbili
2026-08-24 20:10:47
0
user3382368813051
saimon R k :
msipigwetena
2026-08-24 19:03:37
0
gerryjr60
Wuod Nyaseme :
safi bingwa
2026-08-24 19:12:21
0
timmogarage
timmogarage :
Nimekuelewa sana, bingwa tupo Pamoja san
2026-08-24 19:07:31
0
lupozjr
Lupoz_Jr :
Bingwa mmoja tu tukipata madini kama haya tajiri una pepo yako
2026-08-24 18:38:05
0
ramaboyfurniture23
Ramaboy furniture :
sasa hapo ip ni bora au ip sio bora kwa mtu anaetaka Subalu kwa mala ya kwanza
2026-08-24 18:58:00
0
_a_jvckvl
_a_JVCKVL :
2026-08-24 18:54:31
0
bembeya.antoni
Bembeya Antoni :
Me nitakuja unisaidie kununua gari zuri ili isinisumbue kakaangu
2026-08-25 02:27:15
0
canceler_
James :
Sasa somo lijalo tuelezee kwann tusinunue SJG tuchukue SJ5 au kwann tusinune SJ5 tuchukue SJG.
2026-08-24 19:03:50
2
miszalfa
Zally🌹 :
Kwenye hizi mada wanawake tunapita kama tunaaga maiti 😀😀😀😂
2026-08-24 20:00:37
1
samwelstanley380gmail.co
sam money📸🇰🇪 :
na laki nane tajiri
2026-08-24 18:37:50
0
To see more videos from user @bingwawamagariused, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About