@automatewithai_tz: Nimetumia dakika TANO tu kufanya kazi hii ambayo ingefanywa na team nzima ya marketing. Kazi ya ku-draft full content strategy, kutengeneza ad creatives, kuandika email sequences, na kuandaa brand kit zote kwa pamoja huwa inachukua wiki kadhaa na team nzima ya waalamu… Lakini ukiwa na Claude AI, hii yote inachukua DAKIKA 5 TU. Jinsi ya ku-set up kwa dakika 1: 1️⃣ Search Google: “marketing skills Claude” kisha fungua ya kwanza. 2️⃣ Chagua skill unayotaka (mfano: marketing skills for Claude ) kisha download raw file. 3️⃣ Kwenye Claude AI, nenda Customize > Skills > Upload Skill. 4️⃣ Done! Claude wako yuko tayari ku-perform kama senior marketing expert! Make sure una-FOLLOW page hii ya @automatewithai_tz ili usipitwe na kila AI hack, workflows, na updates mpya za kurahisisha kazi zako kila siku. Save post hii usisahau kuijaribu baadae! . #AutomateWithAI #AITanzania #ClaudeAI #MarketingAutomation #AIForBusiness