@portmore3560: Highschool ilikuwa tu na maajabu😂😂😂

1youngboy
1youngboy
Open In TikTok:
Region: KE
Monday 24 August 2026 18:44:44 GMT
77707
19449
133
1572

Music

Download

Comments

abdulaziz_.13
Abdulaziz :
Mwalimu aseme “we rudi niliongoe na mzazi” 😂
2026-08-24 19:32:12
389
johnny.labile
@ JOHNNY :
Mimi nilikuwa nachukua plates zao 😅
2026-08-24 18:47:47
160
de_outxast
de_outxast :
kwanza ku fake sickness 😂
2026-08-24 19:16:28
25
martinkuya513
💢Søūl❌Rèåpèr💢 :
kwa table watu sita wameenda home lakini 🤣🤣🤣sahani bado ziko zote 🤣🤣🤣
2026-10-05 21:12:31
21
harvince_tml
HARVINCE TML💖 :
Mimi hata leo nikarudishwa shule, bado nitafurahia 😂😂😂
2026-08-24 18:54:26
35
skilli_bouy
👑𝓼𝓴𝓲𝓵𝓵𝓲 𝓫𝓸𝓾𝔂🇯🇲 :
ww kumbuka tu 😂😂😂si tuko kazi sai😂😂😂
2026-08-24 18:57:49
12
depascal1
De pascal :
hiyo nayo ni Christmas ka ujui
2026-08-24 18:50:41
14
2sank123
2sank123 :
Walai mzing😂💯
2026-08-24 18:56:24
9
ezzie_njogu
ezzie_njogu :
Mwalimu ashawai sema nimelipa nasikua nimelipa..sema kukosana na yy
2026-08-24 19:27:18
10
yasminkariuki6
King TLJ :
ni mbaya
2026-08-24 18:49:05
4
user7356966149133
Driller marvel :
unajua hua nashangaa Sana ukiongea story za high school enyewe don't judge a book by it's cover
2026-10-12 07:11:55
1
keinomercy0
Mercy keino ♥️🦋💍🫂 :
nakumbuka niliwai rudi home juu ya 5bob na nilienda na transport ya 250 kwendea 5 bob😂😂😂
2026-10-16 22:37:52
2
chebby16
trixychebby :
n hyo time ni maths morning
2026-08-24 23:47:51
2
john.deboir_ke
Jonte :
kuna mtu anadhani hii ni jokes 😂😂
2026-08-25 19:57:08
3
empresskassam
Empress Kassm22 :
ni mbayaa baradhuli
2026-10-10 09:34:19
1
braggadavido29
Bragga dwasike😉😉 :
school fees nayo achana nayo😂😂😂
2026-08-24 18:58:30
1
_.babysteps
Babysteps :
2026-08-25 00:17:36
4
isah_vegas1
isah vegas :
Ni mbaya
2026-08-24 19:32:49
3
a.drian_18
Adrian ♥️ :
Heri wewe ulisoma boarding school 😂
2026-09-07 18:07:50
1
ayala2545
its-aminah🌺🐻 :
Nakwambiaa ilikua rahaaa Kama sahi vile masauti anaskia nyimbo imetrend 🤣🤣🤣😂we juaa baradhulii
2026-09-09 11:26:30
1
brianluvin
luvin :
Mimi hapo upande wa table dining hall the more people wamefukuzwq the more the food😂
2026-08-24 21:18:18
1
user8766123549842
Eli 254 WiFi ya Bungoma 😂 :
alafu uskie mzazi aliongea na mwalimu 😂😂😂😂
2026-08-25 03:18:16
1
tarruxxmacharia295
tarruxx macharia :
kumbe tulikua wengi😂😂
2026-09-14 05:40:28
1
mfa_ransa
lowkey :
ilikuwa noma 😂😂😂
2026-10-14 20:45:54
0
devokehkenya1
kevo de vokeh :
me nakumbuka jamaa alikua na balance ya 150😅 lkn ile design alivuka hio gate hungedhani anaendea 150😅
2026-08-24 19:46:39
0
To see more videos from user @portmore3560, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About