@surveyor_mligo_simon: Kutoka SMS Fahamu matumizi ya Mfumo wa e_ardhi. @WIZARA YA ARDHI #mtaalamuwaardhi #elimuyaardhi #eardhi

Mtaalamu wa Ardhi (SMS)
Mtaalamu wa Ardhi (SMS)
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 24 August 2026 19:03:12 GMT
23357
541
82
175

Music

Download

Comments

healthylivingschools
HEALTHY LIVING PRODUCTS :
next time sound engineer ajitahidi ku balance hizo background music sounds na sauti ya mzungumzaji
2026-08-25 04:57:38
1
issamshana3
issamshana3 :
hiyo background music inazingua
2026-08-25 06:09:43
2
error9023
Error :
Too much noise 😕
2026-08-25 08:05:19
1
basa_kuku
BASA KUKU :
vitu vya serikali hua hawana ubunifu na kujua vipi content inakua .. saut ndogo background kubwa
2026-08-25 06:06:15
3
visper913
Visper 🐳 :
next time . msiweke mamiziki sauti hazisikiki
2026-08-25 04:28:16
3
landventuregroup
Land Venture Group :
asante kwa elimu
2026-08-25 05:44:24
1
billbranks
Mr_BillBranks :
huu mfumo una link na mfumo wa taussi??? maaan tunanunua maeneo kw taussi pia
2026-08-25 06:39:12
1
bonaventure.kavil
Bonaventure Kavilwa :
nimenunua viwanja vina hati,,nimefanya transfer naambiwa nisubiri kwanza kunamgogoro,, na nilikuwa natumiwa makadilio ya kodi ya ardhi kupitia kwa aliyeniuzia na kulipia.cha kushangaza mwaka huu sijatumiwa..kuuliza naambiwa hati zako zipo kwenye mfumo wa zamani inabidi ziingizwe kwenye mfumo mpya, haya nafanyaje?? nikaambiwa hili zoezi kwa sasa limesitishwa..yaani kwenye hii wizara kuna mauna uza sana..na mpaka ss kuna mtu kashajenga kwenye kiwanja changu kauziwa na madalali wanaokula na watu wa jiji na hana nyaraka yoyote..na huyo dalali anajitapa kuwa sina cha kumfanya.inaumiza sana. mambo mengi yanasababishwa na nyie watumishi mara mtandao,mara tehama,mara surveyor nk nikuzungushwa tu..sasa kama mimi nafanyaje sasa??
2026-08-25 18:48:02
1
kifarumalale
Kifaru Malale :
@Kifaru Malale:huu mfumo umenizingua , nimepata hati yangu mwez february , mwez wa 7 umefika nikataka kutumia mfumo huu kupata makadirio yangu ya kodi ya ardhi ili nilipie , kila nikiingiza taarifa zangu husika ili nipewe makadirio nilipie , mfumo unaniambia nimewwka taarifa zisizosahihi, nimerud wizaran kuelezea changamoto nilionayo , eti wizara wananiambia kwakuwa hati yangu ni mpya nirudi adi almashaur nilikonunulia ardhi (chalinze ndo ntapata msaada) , asee nilichoka , yani wizara/makao makuu wameshindwa kunisaidia adi nirud almashaur ? na imagine hapo ni mimi ninataka kuwapa ela serikali ,😂😂😂, serikali inapoteza mapato sana yani
2026-08-25 03:45:14
2
ngele453
NGELE :
next presentation punguza hiyo background music husikiki vizuri natamani kama ungerudia ukiwa umepunguza au kuondoa kabisa huo mziki
2026-08-25 08:37:50
2
keywanday
KeyWanday :
ikiwa nimsahau password nafanyaje kureset?
2026-08-25 09:14:55
1
hse_pro_tz
HSE Professional Hub :
mimi nikijarbu ,spatial data, inaniambia request for publication, nafanyaje n muda sana sasa
2026-08-25 07:43:38
1
haydary_tag
haydary_tag :
Hivi hati inafaida gani mbona hata wenye hati bado wanaingizwa kwenye migogoro na wasio na hati na serikali hakuna kitu inafanya 😂😂😂TZ
2026-08-25 08:29:20
1
salum.electrician
Salum electrician 🚘🔧 :
je kupata vibali vya ujenzi na hati naweza kutumia hii?
2026-08-25 07:18:08
1
arjen006
rubeya :
land rent unaweza kuziomba kupitia huu mfumo?
2026-08-25 07:14:21
1
honeybadgerking3
honeybadgerking :
asante kwa maelekezo tunaomba muongee na watu wa jiji dodoma wasiuze maeneo ya watu ndachi kama wanasema waziri amezuia hati sasa wasiuze wanazalisha migogoro walio kaa hawapew umiliki wanapewa wanaouziana kinyemela
2026-08-24 20:19:13
2
9319j120
Mr Mimi :
Kwanin kila wizara/taasisi inakua na mfumo yake? Kwanin isiwe tovuti moja ya serikali ambayo inakila huduma
2026-08-25 07:21:07
1
deoringo
Grazia :
Maelekezo ni ya muhimu zaidi ya hiyo background sound, next time editor afanyekazi yake kwa umakini
2026-08-25 15:14:36
1
mrdamc1
Mr Makury22 :
Unaweka mziki wa nn unakuwa hausikiki vizru
2026-08-25 19:06:19
0
hermicaptein
khamiscaptain :
pia punguzeni sauti ya mziki huo saiti ya muelekezaji ni ndogo sana kuliko hiyo ya mziki 🙌
2026-08-25 20:17:51
0
khadija.mwaluko
Khadija Mwaluko :
Maandishi yanatumika kuelekezea yana front ndogo ni ngumu mtu kufanya follow up
2026-08-25 17:55:38
1
ally.ititi
Ally Ititi :
naweza kuomba hati
2026-08-25 17:14:59
0
khadija.mwaluko
Khadija Mwaluko :
Tengeneza content nyingine ili ieleweke vizuri
2026-08-25 17:56:40
1
mussa.ali631
Mussa Ali :
sasauo mziki wa nini sisi tunataka kusikia mnaweka mziki tena sir?
2026-08-25 16:19:51
1
saidimabula
Saidi Mabula :
Mziki upo sauti ya juu sana husikiki
2026-08-25 05:58:43
1
To see more videos from user @surveyor_mligo_simon, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About