@userraph254: kuweka maji kwa mixer hukuwa nomaree,unatoka hapo ukiwa umerowa kama tilapia😂😂#Mjengo#monday #fypfyypシ #viralvideo #kenya

mjengo life
mjengo life
Open In TikTok:
Region: KE
Monday 24 August 2026 19:07:31 GMT
65879
4142
106
117

Music

Download

Comments

user1185819434035
vinnie mo :
chini ya mnazi lazima ukue umekauka mgongo juu hakuna kustrech labda mixer iharibike
2026-09-28 08:51:12
28
user3006618356250
Faidhal Mahmud :
Hapa ndoo ikianguka kw mixer by mistake,,walai unaenda hme bila malipo hta kama n saa kumi jioni 🤣🤣😃,, Mwenye hajafanya hii mboka asijarb kama Hana roho ngumu
2026-09-27 08:27:31
17
ahmed.idd.salim
AHMED IDD SALIM :
sijawai fanya hii[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-09-29 07:44:11
2
jamalmakeni2
Jamal Makeni :
naona msee na Ndoo mpya😂😂
2026-08-27 10:31:15
24
mwasshoe0
mwas :
tuko 2nd floor
2026-09-30 12:47:58
1
vinniemungai
Vinnie Mungai :
mtu wa mchanga ndio anakula rahisi apa
2026-08-24 21:51:03
9
vini.sr82
VINNY KE :
nilitoka kwa drum vidole zikiwa zimeganda
2026-09-27 23:00:59
7
jeffplumber5
Jeffrine :
hawa wasee 2 ndio mmi huamini 😏😅😅 itajipa 2 God mbele
2026-09-28 07:27:44
7
maguru_eric
Maguru 🇰🇪 :
Heri kuangamia chini ya mnazi kuliko kueka maji ama simiti 😂
2026-08-29 12:42:29
7
quazmwas009
@quazmwas009 :
ww haujai weka cmiti ngunia ina kwama haaiiyaaii🤣🤣 watu wa unga mko wapi😁
2026-09-02 13:14:20
2
davii.dialo
Davii Dialo :
tembea na wao wanatbea Ady miguu inatoka moshi big up💪💪💪
2026-10-01 09:23:47
3
user52118191740311
Vincent Kang'oa :
mwa ngai
2026-09-27 13:37:00
1
unruuuuuuuly7
unruly culture 🇰🇪🇰🇪🥰🥰 :
kueka maji ni sosaa man unaeka mbili na nusu unarudi kulala kwanza ukiwa na pipe inakuletea maji direct🤚🤚🤚🤚
2026-09-29 05:43:42
2
ke.eli
Ke Eli :
Kuna ule wa simiti 😂😂😂 hukua hatari 😂
2026-09-28 18:05:11
3
brian_kabasa
Brian Kabasa :
hapa amateur atakimbilia bucket mpya wazee tunaendea zile Mzee Mzee
2026-09-30 15:51:47
4
allan.mwangiathep
Allan Mwangiathepeapledy :
chini ya mnazi nao wzidi kpwa nguvu🥰🥰🥰🥰🥰
2026-10-01 11:10:30
1
clarence_omutsani_
omutsani clarence :
nishai fanya hapo pa kuweka dawa [simiti]😁😂 mkono kidogo itoke joint banaa..hizo ma pieces kuwekaa waa😂
2026-09-29 17:07:52
2
higyway101
Highway101 :
chini ya mnazi ndio kuna kazi
2026-09-03 17:00:01
2
1kimodio_
KIMODIO :
😂😂niko sawa everywhere else but kwa kokoto apana
2026-09-29 17:13:26
1
poul1189
poul :
😂😂😂😂😂😂😂 joh
2026-09-23 16:43:53
1
1994mavado
MAVADO VILLANS :
afadhalii ya kuweka maji kuliko ya kukata simiti ama kuleta kokoto..nishawai Fanya unatoka apo mgongo sio yako..@#UTAWALA
2026-09-28 16:23:54
3
charimaster
c.m :
ushai eka simiti😂
2026-09-06 00:33:11
3
willywathigo
Wathigo William :
ukiskia mahindi ujue wasee wakokoto wako na mchezo😆Mungu baba usiwai kubali nirudi kwa hii kazi nlikuwa naenda kwa nyumba nalala kama maiti😁
2026-09-29 09:25:35
4
its_.wawesh
♠️ Bryan ♠️ :
foreman:chunga ndoo kichwa ata ikipasuka tunaweza replace 😭
2026-09-08 07:32:36
4
gregg292
Eye-zacc :
2026-09-20 03:30:12
2
To see more videos from user @userraph254, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About