Me naendaga kwenye kioo najiambia huna Shukurani wewe mwisho wa siku nakaa sawa
2026-08-25 07:14:28
213
user8015024929299Joanwilfred :
I obtain the grace to keep holding the faith in Jesus
2026-08-27 07:29:06
1
user7262599294511 :
Ukweli kabix thanks Pasta 🙏❤️
2026-08-27 14:37:14
1
ajaysimbaj7 :
jamaa anahubiri na kulijua neno bhana🔥
2026-08-25 05:50:37
78
vitu bei rahis@95 :
kanisa liko wapi jmn nataka kuja
2026-08-25 06:55:03
38
Lucy William :
ooh yes
2026-08-27 15:48:56
1
Hollinie Hollinie🇰🇪🇹🇿 :
O hallelujah 🙌 😊
2026-08-27 15:51:05
1
queen lappyness ♥️❤️🙏 :
wanafunz wa swila mung amewapa neno leo amina
2026-08-25 07:21:31
17
user7744124663355 :
naomba location ya kanisa na ratiba za ibada plz
2026-08-25 07:16:52
22
steiner_stankovic :
Yani ukifika mbinguni unanyukwa kwanza viboko sasa ww waza kujiua wakati Mungu anawaza kukulinda muda wote🔥🔥🔥🔥 very spiritual strong message from God
2026-08-25 03:13:56
44
sophiachengula :
ameeeeeeeeeeeeeeen👏
2026-08-26 21:10:12
1
J' daughter🥰. :
Imekuja wakati mwafaka kabisa kwangu😂🙏.
2026-08-25 13:57:17
12
user2498141149945 :
uwiiiiii Jehova nisi nikumbuke Tena
2026-08-25 05:33:17
8
Jen Juma :
mm Huwa nikimkumbuka Kuna watu wamekufa hiyo siku na Kuna wat wanahema kwa kutumia machine, matatizo makubwa nabaki kusema Asante MUNGU
2026-08-26 20:06:47
8
️ :
Mchungaji neno hili limekita vilindini kwa moyo yangu 🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽
2026-08-25 10:32:20
8
mama p :
waoooooh hili neno nimelisikia kwawakati sahihi kabisa asante munguu mpaka miaka aliyotaja ndiyo niliyonayo aisee mungu nimwema wakati wote nahili neno nikwaajiri yangu
2026-08-25 16:41:50
5
Rehoboth :
hatimae nimekipata hiki kipande 🔥🔥
2026-08-25 10:00:12
6
Alfie01 :
This what I needed to hear today.
Thank you man of God.
2026-08-25 02:41:44
6
safina ally :
AMEN 🙏
2026-08-26 23:11:11
3
Mr dillo the don💼🌎 :
Amen sana 👏
2026-08-26 05:52:01
2
Kokuletage Wilson :
Mungu nisaidie niwe na moyo wa shukurani
2026-08-27 17:21:37
1
James boy :
ukweli mtupuu 🙏🙏🙏🙏♥️♥️♥️♥️🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
2026-08-25 07:26:17
3
Tiphaaaa :
Asante Kwa kunichana ukweli
2026-08-27 11:46:48
2
To see more videos from user @pastortonykapola, please go to the Tikwm
homepage.