hili swali toka nasoma mpaka sasa cjawahi pata jib
2026-08-26 05:23:38
24
Phile Tz kijana 🤓🤓 :
mpe AI bwana usituchoshe
2026-08-26 07:43:25
12
miss lu :
jaman chatGPT ametoa jibu☺️
2026-08-26 13:39:37
15
Akoth nicanor :
tulio soma tukiwa tuna tabasam tujuane
2026-08-26 09:12:43
10
masebo 4b :
yaan toka nimeanz kusoma coment spat jibu mpak wife nauliza w mbn hy nyimbo unailudialudia kumb niko kwenye comment huku😁😁
2026-08-26 19:21:24
6
Furaha Shaban :
cjui
2026-08-25 05:30:52
6
likindy digital solution :
hee tupe jib tumeshindwa
2026-08-24 21:56:30
6
Sorter :
kweli kazi ipo adi chat gpt kasema jibu lake hana 😂😂😂🤣
2026-08-26 14:04:40
8
triple innoh :
macho kwenye comments
2026-08-26 07:04:55
5
Da Eugien :
apo chat gpt anahusika 😂😂
2026-08-26 13:07:41
8
salimu jamali :
toka mwak juz xjawah pata jibu
2026-08-26 06:06:14
7
shelly :
jibu lake ni " Siku"
2026-08-26 12:34:50
7
j baby 🥰🥰💞 :
toka nasoma mpaka leo sjawahi kupata jibu la hilo swali
2026-08-25 19:59:50
6
øfficial khan🧕 :
jibu lakeKafini
2026-08-25 02:02:29
6
ADbreezy_@810 :
👉 Jibu ni KABURI ⚰️Lakini kama unataka jibu la kweli linaloeleza kila clue bila kulazimisha, ningesema kitendawili hiki kina kasoro/kimetengenezwa bila jibu sahihi. Chanzo cha zamani kabisa nilichopata kinaonyesha hata mtoa kitendawili mwenyewe alisema hakujua jibu. �
JamiiForums Tanzania
😂😂😂😂😂😂😂 mpak Ai anashindwa kUeLEWa🤣😊
2026-08-26 09:04:52
13
To see more videos from user @user8158140388128, please go to the Tikwm
homepage.