Hiyo inaitwa herenBoot CD, just a tool to do recovery password change hdd clone and other Bios bootEditing, UEFI and EFI files changer. Broo hii mbona ya zamani sana tuna mpya siku hizi na zio hivyo tu hata unaweza Tumia ethernet cable kama Boot option PXEboot simple na rahis sana mbona.
2026-08-25 06:19:50
1
Tiger.47🐯 :
amn computer Apo
2026-08-24 20:11:31
1
Rayzer _Razack☑️ :
window unawekea wap
2026-08-25 03:32:46
2
sydney_Top :
IYO ni Hiren Live boo
2026-08-25 04:57:21
1
kenv kidd9 :
iyo online kali linux os au
2026-08-24 19:30:43
1
XPARLOW :
Acha kuwaona watu wehuu..,Iyo ina Ssd ambayo ndo umewekea windows
2026-08-25 01:24:26
1
tricepter :
hires boot kaka pia iyo flash ndo staonnnnmm
2026-08-24 20:37:01
0
Rashid Mohamed :
Me najua ivo Unawez kuwasha kwa cd Ubuntu 😂
2026-08-24 20:17:31
0
mamen sparrow :
nakubali Sanaaa kak 👍👍👍
2026-08-24 19:33:07
0
KIDD JAU 32KITENGO🇹🇿🇹🇿 :
tupe mifumo ya lag kama hapo kenye del
2026-08-24 19:52:37
0
jagwa :
unajua unaweza kuwasha kompyuta bila kutumia power cable mchawi kupuliza hadi iwake
2026-08-25 09:15:45
0
TUNAUZA SIMU NA KUTENGENEZA SI :
2026-08-25 08:09:59
0
Dreamsoft Technologies | Apps :
Chomoa flash tuone😂
2026-08-25 08:08:32
0
TONY BANDO :
toa hiyo flash uone kama utaweza kutumia
2026-08-24 20:46:03
0
𓄂ᬼ𓆃King's of A.H.K :
bro yupo nyuma ya mda..
2026-08-24 20:37:14
0
Cyber Intelligence Institute :
: ndo unajua leo
. windows to go 🤣🤣🤣
. IT wa sahv mnashd ..
2026-08-25 10:53:54
0
To see more videos from user @nyemboelectronic, please go to the Tikwm
homepage.