@davimess26: Mkiendelea na hii michezo ya magoli ya Playstation ipo siku kuna timu ikienda mapumziko hairudi tena Uwanjani, mmefunga mmeona haitoshi mnaanza kuleta magoli ya mazoezini kwenu kwenye mechi ya Ligi Kuu? Mmepiga goli la pass nne goli na mkawafanya JKT kama koni? Je huu nj Uungwana?
davestar 🌟
Region: TZ
Monday 24 August 2026 19:34:29 GMT
Music
Download
Comments
Stanley Juma :
rele releeeee
2026-08-25 17:16:23
2
happysebastian256 :
sisi kama Azam tunasema tunawataka😂😂
2026-08-25 07:24:33
36
Rich Rhymes :
uzuri kila mtu atacheza nao hawa jamaa kwahiyo JKT wasikae kinyonge sana, hii dunia ni mapito,
2026-08-25 06:14:44
53
runner🔵 :
"(uzuri kila mtu atacheza nao hawa jamaa)"alisikika mmoja wao akinena😁😁😂😂😁
2026-08-25 11:28:23
24
fahsar :
simba ilifungwa na pass 3...bacca ikaenda kw muda, boka kangwanda ksmaliza
2026-08-25 06:17:35
21
lizzy bassong :
ila me kangwanda nampenda sana jmn bonge la bwana
2026-08-25 08:47:11
5
Kobla Ernest :
TRA tunawasubiri kwa hamu nyie yanga
2026-08-25 16:02:43
5
BIOLA MONTANA 255 :
Ndo najadiliana na TFF kamavp YANGA wahamie ligi ya ZANZIBAR 🤔
2026-08-25 14:13:46
6
emmy :
yanga inaogopwa na kila timu sasa😂😂
2026-08-25 02:08:37
14
SUZAN SANGUDI :
😂😂😂😂 Kila mtu atafikiwa
2026-08-25 06:48:52
7
chapo :
dah ukiwa yanga raha sana 😂😂😂😂 mkiambiwa muwekezee
2026-08-25 06:57:43
10
Taisuke :
😁😁😁😁 Eee wambien wasiwacheke na wao watakutana nao
2026-08-24 20:45:48
10
Afisa mukandamizaji 🇹🇿✅️ :
😁😁😁😁
Nilisema sikusema
2026-08-25 05:50:04
6
SikaH Office :
2026-08-25 06:59:52
1
imma the boy@2002 :
ALAFU SERIKALI IMEKAA TU KIMYA
2026-08-26 00:18:09
1
bwalya08 :
yanga bingwa 💚
2026-08-25 08:31:16
3
organ :
2026-08-25 08:15:35
2
Saul leonard :
2026-08-25 08:02:56
1
Edwin Magogwa :
2026-08-25 09:15:34
2
dommie💜 :
JKT wameamua watoe ya moyoni kwann tujifie wenyewe tu na bado akina kasongo hawaja cheza
2026-08-25 10:45:00
4
irene :
Bora hata JKT wametoa ya moyon😂😂😂😂
2026-08-25 14:48:59
1
Limbes son 03 :
kila mmoja atafungwa kwa wakati wake asa ukikuta imechanganya tusilaumiane nyie jichelewesheni tu😅😅😅😅
2026-08-25 19:04:35
3
Ibraahimu Madege :
2026-08-25 07:58:53
2
Vaiceaum Vancouver :
𝚑𝚊𝚑𝚊𝚑𝚊
2026-08-25 08:56:17
1
£zo* :
Ni jambo la muda 😂😂
2026-08-25 08:50:44
4
To see more videos from user @davimess26, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.