Saivi ukishiba2 unaibua jambo jipya, ila tutafika2 tuvumiliane🤣🤣🤣🤣
2026-08-25 11:06:03
8
عبدالرحمن 🥰🥰🥰 :
na mimi nitavumbuwa wangu ugunduzi😂😂😂
2026-08-25 15:13:38
2
Wäßöñgö⁴⁴🤟🤟🏿 :
tanzania🥺
2026-08-25 10:19:10
4
Xavier José :
Ronaldo
2026-08-25 19:35:57
0
samsonikaguo :
messi
2026-08-25 20:06:35
0
dicky warrior of God 🫡👮🐴 :
😅😅😅😅😅 😅 😅 Haya bhna
2026-08-25 19:57:11
0
anton anton :
mimi
2026-08-25 16:04:45
0
mawigi :
unatuokota
2026-08-25 16:55:30
0
mageni mageni :
km
2026-08-25 11:50:41
0
fvf21 :
Acha kutuokota broo
2026-08-25 12:56:25
0
Ghaniya Ahmed :
uyo fundi
2026-08-25 14:08:06
0
Hilmi :
Uhuru sasa umepitiliza kwa kweli
2026-08-24 23:05:43
3
bilidhwaaashim :
fifa wanastaili kupata ilo kombe
2026-08-25 13:22:42
0
Golden Boy :
Kwan apo uwanjani Kuna team ngap nachanganyikiw 😞
2026-08-25 04:25:20
1
samwely subeth :
kombe la yanga
2026-08-25 12:52:05
0
nak :
kwan ww unaamini nn😁😁😁😁
2026-08-25 13:13:40
0
Jaybee💥📸 :
kwanza hii ni media gani
2026-08-25 09:51:49
0
babeagy ♍️ :
mhhh kwa hiv vi waya hivo 😂😂😂
2026-08-25 10:31:39
0
Ja Rule :
Mfundi
2026-08-25 07:56:19
0
Mussa Ame :
KOMBE LA YANGA😂😂😂
2026-08-25 09:04:28
0
sudais :
Ukweli kuhusu Kombe la Dunia (FIFA World Cup):
Nyenzo: Limeundwa kwa dhahabu safi ya karati 18 (18-karat gold) yenye mchanganyiko na madini ya malachite kwenye sehemu yake ya chini (base).
Uzito: Lina uzito wa jumla wa kilo 6.175, ambapo ndani yake kilo 4.92 ni dhahabu safi.
Muundo: Ni la dhahabu tupu ndani na nje, na halina saruji wala udongo wowote ndani yake.
Makombe halisi ya michezo hutengenezwa kwa madini ya thamani kama dhahabu, fedha (silver), au shaba (bronze) na sio saruji.