@binaupdates: Mama Amina kwenye penzi jipya mjini, vipi unaona ndoa kweli hapa comments ziwe fupi fupi hapo chini 🤣 😆 😀

Bina Tv
Bina Tv
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 24 August 2026 20:42:48 GMT
280577
12893
675
1440

Music

Download

Comments

misasaid01
Naila🧚‍♀️ :
Kama mama Amina ka move on mimi ni nani nisimove one😂
2026-08-24 23:11:11
282
fefe.npg
FEFE NPG 💘📍 :
Yan mama Amina anampenzi mm sina
2026-08-24 22:42:19
409
its.bee152
it's bee :
km mama amina amemove on mm n nan🤣🤣🤣🤣🤣
2026-08-25 01:51:41
19
sarah.omar90
Sarah omar🇧🇭🇧🇭🇹🇿🇹🇿 :
ame move on mapema🤣🤣🤣
2026-08-25 21:41:05
0
minay5571
minay :
mam amina anapenda mapenzi😂
2026-08-25 05:47:49
51
user8347552785422
gee roisly🦋❤️ :
😂😂daah ngj niwe seriously
2026-08-25 12:47:09
0
gloriangaa5gmail.com5
Glory ngaa :
😅😅😅😅camera man sogeza camer
2026-08-25 12:38:45
0
witygody4
wittygody4🦋 :
Hadi mama Amina kanishinda😂
2026-08-25 09:27:18
17
trevah66
trevah66 :
@chocolate
2026-08-25 06:48:36
0
user7203063100457
mami :
ivi kwli una mtak mam amn
2026-08-25 05:59:08
0
mosh.mosh697
mosh mosh :
Kende halijawahi kuacha mtu salama hata wasojielewa wataelewa tu 😂😂😂😂
2026-08-25 04:02:41
109
ashraf_fitness
Ashraf :
kumbe mama amina msanii mkubwa😂
2026-08-25 08:02:26
52
sharontrace1
She is Jessie ❤️ :
Kama mama Amina anapenzi jipya mimi ni nani nisiwe na penzi jipya 😂😂
2026-08-25 09:10:07
7
mrsbee2004
MR'S BEE :
basi kuna limtu hata mama amina analizid kumove on linalia kila sik chukuwen mfano kwa emmy😂
2026-08-24 20:57:59
46
jumah.timber
@Jumah Timber :
Ujue nacheka kwanini😂😂
2026-08-24 21:12:03
88
itsnaah28
LAST BORN🌸🌺 :
Uyu noma 😂😂😂
2026-08-25 05:29:26
43
joycemanga169
Joyce Manga :
kama mama Amina kapata mpyaa miye ni nan Niko see Acha niwe mvumilivuu🤣🤣🤣🤣🤣
2026-08-25 04:50:36
14
zulai.yahya
Zulai Yahya :
Mama Amina kamove on mi nakosea wapi kilatukiachana namrudia tushaachana zaidi yamara 4
2026-08-25 07:18:10
7
wizzohmelody
wizzohmelody :
mtangazaji umekaza kweli?
2026-08-25 04:35:50
17
mrsmchina6
SHOP WITH MCHINA🛍️♓️ :
Mimi ndo huyo shemeji yenu.
2026-08-24 22:29:51
23
ndynacr
mirha hassan :
tuliokimbilia kusoma coment tujuane
2026-08-25 04:12:37
8
sokoremsani
Sokore msanii :
Nimechoka kuwa single mdada moja ajitokeze basi
2026-08-24 22:16:47
11
janeth.chaina
Janeth Chaina :
bora huyo nimwaminifu hajakuroka😂
2026-08-24 21:09:15
27
faumavoice
Ma voice🥰❤️ :
Ila mama Amina jmn
2026-08-25 04:05:36
6
zulfajuma8579
♥️Pretty zulfa✨️🎀 :
huyu s said jmn nimesoma nae huy bwana wa mama amina
2026-08-24 22:29:40
6
To see more videos from user @binaupdates, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About