@yuzohsimba:

yuzohbrown
yuzohbrown
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 24 August 2026 22:02:32 GMT
474686
28934
340
792

Music

Download

Comments

brightonromanus
Brighton Og💪 :
Hii game ilikua zaidi ya hisia kwa wanaSimba🙌💪
2026-09-22 19:01:27
48
rweymamjr
James Mohammed Rweymam :
super man Camara 🥰🥰👍👍👍
2026-09-02 13:15:07
5
gifty4856
Gifty :
Tutachukua muda kuipata Simba ya aina hii mungu atusimamie jmn
2026-08-25 11:13:48
44
marthamadera4
martha madela 💃💃💃 :
sizani kama tutampata kama camara
2026-08-25 09:34:48
14
groliy.jonick
kinyamagoha :
kwa ushaur jamn camara na davd
2026-09-23 12:24:25
9
mayakweka
Maya Kweka :
jmn mpk nasisimka[Heartwarming][Heartwarming][Heartwarming]
2026-09-23 10:06:10
6
user791173919583
user791173919583 :
Kuna watu tutawakumbukaaa saanaaa Camara kibu, Charles ahoua
2026-08-29 21:12:15
9
allan.kapola
Allan Kapola :
Hii ndo Simba SC iliyoiponza Simba SC ya sasa hivi, itatuchukua muda kuirudishaaa😳🙆‍♂️🙆‍♂️
2026-08-27 06:51:16
8
khalimaisa3
khalima. isa :
muombee mungu arudi camar wetu ♥️♥️
2026-08-27 08:34:55
6
abuu.ubeyda11
A :
Yan hii furaha kama hii sjui itakuja lini mana nishaimiss
2026-09-10 19:34:14
8
shedracknkuwi
Shedrack Nkuwi :
100%JESUS 100%JESUS 100%JESUS [Red heart][Red heart] NIMEIKUBALI HIYOOO[Pray]
2026-09-27 13:52:31
3
user8042941750266
zaynab yahya :
jamaniii Hebu fanyeni haludi kamala wetuuuu
2026-09-23 07:02:47
7
user8036504987076
EGA BOY :
simba oye
2026-10-03 10:10:15
2
user3622919261203
beka boy :
anakubari kamala
2026-09-21 08:45:30
6
user7149828299876
Temu :
tumpe makopa camara🥰🥰🥰🥰😎😎😎
2026-09-10 15:49:14
2
amoc496
amoc :
nimetokea na mchonzi ya furaha kwa Simba yangu naipenda
2026-09-12 11:58:04
8
rucqaiyadullah
qeen love :
simba nguvu moja ♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️
2026-09-23 10:03:07
7
mwanasimba05
mwanasimba :
tutamkumbuka sana CAMARA
2026-08-29 18:21:37
4
user8758532462448
caris :
atutampat tena
2026-09-27 09:22:58
2
stunning.queen17
😍Stunning queen 👑 :
usinikumbushe enzi Zang za furaha bas maan saiz ni huzuni tuuu
2026-08-26 04:29:27
4
asmaally285
Asma Ally@rtificial :
hii siku nilikuwa natetemekaa jamni uwiii kupenda timu yako rahaa bhnaa
2026-09-13 17:45:47
2
othumani.abdallah5
Othumani Abdallah Athumani :
makipa wapo wengi sana sema viongozi ndo xhida
2026-09-24 06:04:21
1
nanatal_25
nanatal_25 :
Hakuna kama yey moussa pin pin Camara. Tutamkumbuka daima 😭
2026-09-10 07:24:38
1
patrick.prospa
Patrick prospa :
hivi alienda wapi jamani
2026-09-26 05:28:03
1
aminaorasa
Amina Orasa :
tutamkumbuka sana camala
2026-09-07 14:58:43
1
To see more videos from user @yuzohsimba, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About