@abdulhalimmrjn: Mazingatio #uadilifu ni kitu muhimu Abdulrahman sudais #se@rch

@Abdulhaleem@Marjany@
@Abdulhaleem@Marjany@
Open In TikTok:
Region: KE
Monday 24 August 2026 23:17:38 GMT
14691
545
156
32

Music

Download

Comments

ochu.breezy
Ochu Breezy :
Wee jamaa em kasome
2026-08-25 03:09:28
0
ladeniamini
Osama Amini :
mashallah nilikuwa mtu wa maulid ila nimeelewa kuwa cyo dini maulidi.
2026-08-25 04:51:23
21
user7324801336843
saidiomar :
ndugu yangu chunga maneno yako jua kuwa yanaandikwa utakwenda ulizwa usione sifa,ni ukumbusho tu
2026-08-25 03:18:02
7
k_bidens
Bidens :
huyu n Sudais unaongelea hivyo?🥺
2026-08-25 02:14:22
5
user8765676508231
me :
mjibu kiarabu akusikie sasa unatuambia sisi ndo tulio sema au😂😂
2026-08-25 05:22:45
5
masfar21
Masfar :
na sala kulinda al-qaba sio bidaa sababu sio ibada ile ni ulizi,ila bidaa ni kitendo cha kutakidi ni ibada na Mtume hakufanya
2026-08-25 06:26:02
3
user4276059625828
massoud :
lete ushahid wa hadth.ilyo sem maulid yafa maulid hayafaii
2026-08-25 03:06:46
2
binsalim405
BIN SALIM :
wale wapo kwa ajili ya usalama na usalama ulukuwepo
2026-08-25 06:18:33
1
amisi8819
Ally Amisi Alain 🌺 :
Maulidi ni bida’a
2026-08-25 07:37:29
1
rajabu2263
rajabu :
Baadhi ya maswahaba wanaswali wengine wanabaki nyuma kwa ajili ya ulinzi sasa wewe wasema isilindwe alqaaba si waja na maajabu
2026-08-25 07:10:13
1
hh834258
Mr. NEP (H+H) :
dua yoyote inafaa kwenye swala , sharti iwe ni dua njema
2026-08-25 03:47:01
1
albayaanmuslim
ALBAYAAN :
ukimaliza kubweka tuletee hoja zenye mashiko
2026-08-25 06:33:59
1
said.juma68
Truth is bitter :
اللّهُمّصَلِّ عَلَىٰ مُحَمّدٍ وَعَلَىٰ آلِ مُحَمّدٍ
2026-08-25 03:43:25
1
mkemiyaog37
mkemiya 37° :
Sisi tuletee kuwa maulidi ni ibada na namna ya kuifanya
2026-08-25 05:41:56
1
swahibcosmetics
Swahib :
kwaiyo kwakua wao wanakosea ndo na sisi tunakosea? kilamtu atahukumiwa kwa makosa ya nafsiyake kinachotakiwa ni tushindane katika kufanya yanayomridhisha Allah sio katika kushindana kwa maasi
2026-08-25 06:58:39
0
mfalmekatili645
Ghanzi Dhakit :
hayo yote ni unao ongea ni mambo ya uishia
2026-08-25 02:55:34
0
badranbadran229
badranbadran229 :
Umetoa hoja kuwa maulidi yafaa ama ?
2026-08-25 09:06:29
0
swalahudiniibrahi
Swalahudini Ibrahim :
unaongea nn Yan????
2026-08-25 07:08:27
0
mussamohamed199
Mussa Mohamed :
Katika jambo ambalo mashia wamefanikiwa kuwateka Waislam, ni katika jambo la Maulidi. Hata hivo, haki siku zote lazima isimame. Haki huwa na nguvu kidogo kidogo. Hivi leo, kidogo kidogo maulid inapwaya. Hasa itabaki kwenye maserikali.
2026-08-25 03:33:31
0
abuikasbonda
abuu :
ili uweze kuonekana na weww nimkweli onesha
2026-08-25 08:36:49
0
user81883453167025juma
Juma Abdallah :
Acha tu nisitie neno kwenye ayo maneno yako
2026-08-25 08:48:16
0
harmisy202
Ramah :
Sheikh tafuta 'ILMU yeny manfa'a ndugu yangu
2026-08-25 08:57:08
0
abuikasbonda
abuu :
alafu kijana mwenzangu hii ni dini dini haitaji ukibaraka wowote
2026-08-25 08:38:15
0
jibril.mukhtar1
ابو سهيل حفظه الله :
ywaofahamu ndio maana ywadumu nayo
2026-08-25 09:51:37
0
faridmaree845
farid1952 :
hata kama Sudais anazo kasoro lakini amezungumza ya kweli Kwa tusiangalie kasoro ya mtu tumfwate Allah na ya mtume aliotufundisha tusifwate MashAllah tutakuja juta baadae
2026-08-25 08:37:46
0
To see more videos from user @abdulhalimmrjn, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About