@iycsigntv: Wanaume kuna kitu chakujifunza hapa Muusika: shee 📺 iycsigntv ✍️ iycsigntv Welcome to the iycsigntv youtube iycsigntv promotions dm and more

iycsigntv
iycsigntv
Open In TikTok:
Region: US
Tuesday 25 August 2026 03:30:49 GMT
161633
8472
185
2360

Music

Download

Comments

ainna.hemed
Madogirl :
Kwakweli bora tuwe wawili ty maana hata nikiwa pekeeangu bado tutakuwa zaidi ya wawili tu
2026-08-25 06:32:47
54
user277810227616
fatuma kihaku :
sasa kwanin dini imerusu ndoa nyingi basai wezetu wapo sahi
2026-08-25 04:55:59
51
dafrosa33
Be smart always :
Anapendwa moja tu 🤣🤣
2026-08-25 05:54:25
39
wema.254
AISHA DIRA place🇰🇪🌙 :
finally leo ukweli umezungumzwa
2026-08-25 05:27:26
93
saperah_indian_jeweller
saperah_indian_jeweller🇹🇿 :
nyie mnatuponzanga
2026-08-25 20:55:55
7
marrydee92
M@D❤️❤️ :
shd wanaume wanapenda utulivu yani amani sasa sisi wanawake saiv tumekuwa kivuruge inatokea mwanaume wako anakupenda kwel ila unavyomvuruga sasa n balaa ndio chanzo cha kutengeneza mapenz kwa mtu mwengn so wanawake tujarib kuwapa aman waume zetu😳
2026-08-26 10:06:03
11
fetty.idriss
fetty idriss :
status shwaaaaa
2026-08-25 17:17:44
3
dottomanzi
dottomanzi :
Mimi nina watt Ila sina alie mzidi mwenzie
2026-09-09 14:21:02
3
kalma624
Mrs omary mwinipara 👌 :
nikweri mm mume wangu kaowa mke wa pili sasa Ivi aendi kulala kwa mke mdogo ana lala kwangu anamtafutia sababu ana nambia amuache ana nipenda sasa Ivi mm
2026-08-27 09:27:16
3
ze61000
ze💖 :
shehe sisi tupo kumi na tano🙄 na anaugawa moyo wake vzur tu kwetu wote😎😂😂
2026-08-25 10:14:29
0
user7002688257511
Madam loveness :
tupo sahihi wa upande wa 2 mke mmoja mume mmoja
2026-08-25 06:31:36
0
piliomari25
pili omari :
ningeweka stutus ila mume wangu ataona na ctak aone ii kwsbb mke mwenzangu anachukiwa sana Bora nipendwe mim yeye atajua mwenyew na mola wake kesh akifufuliwa upande mmoja umepinda atajua mwenyew ajatumwa aoe wake wawili
2026-08-26 09:36:43
2
nyasa506
nyasa :
yaani ukweli ndo huu
2026-08-25 05:20:09
16
habibtyhabibty08
حبيبي روحي❤️ :
ongezea hapo anapendwa zaidi ni yule aliouteka moyo wa bwana aijarishi ni wangapi kuolewa maana kuna watu wanaamini kupendwa ni kuwa wa kwanza au wa pili sivyo tabia atakama ni mchepuko akikuzidi tabia tu umeisha utalea watoto nyumbani ila moyo upo kwa mchepuko😄
2026-08-29 17:50:28
0
officialdreamy4
Dreamy 💫🌟 :
Bola umeongea me siweziiii 🙌🙌🙌🙌
2026-08-25 03:42:28
4
aishaseiphramdhan
🦋Aiem~@ Aysha🌺🇹🇿❤️🇴🇲 :
ni kweli moyo unapenda mmoja tu sema uadilifu ndo unatakiwa ila ukweli ndo huo moyo haugawanyiki
2026-08-25 16:21:50
2
empirealjabry_
Empirealjabry🦋 :
bora hata shekh kasema ukweliiii
2026-09-02 12:40:37
2
iluhuddah
huddah :
sheikh ww uishi miaka mingi sana umesem ukweli 🥰
2026-09-04 09:02:33
1
zaituniathuman425
ZaituniAthuman :
ni kweli mapenzi hayagawaniki. ndo maana mtu akichepuka anajulikana Kwa kuhamisha mapenzi
2026-08-25 05:44:53
11
chimamiiy1
chimamiiy🦋🌺🐹 :
mimi namjua mtu anamilik wake wawili n vimada lkn bao moja tu haji juu ten ila pes n sifa ndo zinamsaidia
2026-08-27 07:26:32
1
gee678gift
Gjamilla💚🦋 :
mwambie uyu Aziz aelewi
2026-08-25 17:56:43
1
agnessnkugwe
Agness Nkugwe :
Haya sasa. Asante baba waambie hao
2026-08-25 05:21:48
1
user2870827194162
SHAAB COLLECTION :
sante baba
2026-09-22 12:24:43
0
simu_dubai_tz
simu_dubai_tz :
Sasa sisi masingo tutaolewaaa na nani !?
2026-09-18 16:58:53
0
user68143614998222
mwanaid :
kwwl
2026-08-25 03:44:34
0
To see more videos from user @iycsigntv, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About