I'm from Kenya the death of this Hero still hurts me so much kupata kiongozi kama huyu ni ngumu mno, Rest in peace Sir 🥹🫡
2026-08-25 09:46:15
2
kido on point🎧 :
𝙱𝙸𝙶 𝙿𝙾𝙸𝙽𝚃 𝙾𝙽 𝙿𝙾𝙸𝙽𝚃 ✊🇹🇿
𝚖𝚊𝚐𝚞𝚏𝚞𝚕𝚒
2026-08-25 10:45:01
2
Eric Shoes Center 👡👠👢👞👟👟 :
Tz you will Never get that chance again
2026-08-25 20:09:19
2
Chemsha Munishi :
please instrumental
2026-08-25 22:01:16
0
kamaa :
Best president ever
2026-08-25 14:21:53
1
@Ebby_tz🫢 :
Tupate wapi tena mtu kama huyu
2026-08-25 04:53:18
9
papy :
watu wema hawadumu
2026-08-25 05:19:29
3
Abduel Mndeme :
sijui nisemaje ila Pumzika mahali pema Magufuli daaah😭
2026-08-25 06:22:18
2
ELIA KABWIDJAMU BITAMARAM :
namu kumbaka kila saa 01
2026-08-25 06:19:00
0
Ramadhan Mzava :
mamwa tunakuumbuka sana
2026-08-25 05:32:28
1
JOFREY chitema :
siwezi amini kam atakuja tena m2 kama huyu duniani
2026-08-25 05:08:02
2
John tz🇹🇿 :
iv kwani Tanzania kwasasa rais ninani 🥺
2026-08-25 20:34:32
0
Hd Treasure :
Allah amrehem
2026-08-25 10:55:45
0
patiedo 17 :
Sauti ya mamlaka
2026-08-25 10:59:32
1
user141582924019 :
shikamoo ulipo baba
2026-08-25 05:32:18
1
user8332051528432 :
ukweli baba 🇹🇿🫲
2026-08-25 15:39:58
1
Anthony09 :
sauti ya dunia
2026-08-25 14:42:17
0
Selemani Moshi Mkongo :
ikitokea tunasisima upya mzee usimame baba😂😂😂😂😂😂
2026-08-25 13:41:49
0
Mr.Epyn :
yupo ambaye Mungu anammuandaa Kuja kuwa kama huyu
2026-08-25 09:24:50
0
SS.SAMBO :
Kwani akuna mwenye uchungu ivi aombe kura tena
2026-08-25 07:36:24
1
mombeki :
Asante Baba 🙏🙏🙏🫡🫡🫡
2026-08-25 21:34:01
0
zawadicharles20 :
jaman kweli tupate wapi mtu kama huyu
2026-08-25 09:45:37
0
Ommy tyger ♥️🔐✅ :
@Ommy tyger ♥️🔐✅:Mi kwa mtazamo wangu, na maoni yangu, nadhani inabidi niweke sawa kwamba kwa maneno machache sana niseme mimi kama mm naweza kuwa na mtazamo ambao Nitapenda kusema kuwa kwa maoni yangu naona ni vema kueleza kuwa inabidi sasa niweke sawa maelezo yangu kuwa hili suala ni ambalo kwa maoni yangu naona kuwa maneno ambayo naweza kueleza kwa ufundi sana na kutokana na mawazo yangu. Sasa nimalizie kwa kusema kuwa naona mawazo yangu ambayo yanaeleza kuwa mtazamo ambao mimi binafsi ningetamani kusema kuwa inabidi maelezo haya ambayo nayatoa ni kwamba, kwa maneno machache nieleze kuwa sina cha kusema😭
2026-08-25 20:34:05
1
S,money🤑 :
mwambaaa
2026-08-25 06:41:44
0
Fulenki chalesi :
🥰🥰🥰
2026-08-25 04:23:04
1
To see more videos from user @tingatinga_speeches, please go to the Tikwm
homepage.