@mwl.emilian.katub7: Bwana asifiwe sana Leo tumeanza maombi yetu ya mfungo wa siku tatu na SAA NNE USIKU TUNAKUTANA KUPITIA YOUTUBE CHANNEL YA MWL EMILIAN KATUBAYEMO
isaya 43:19
Tazama, nitatenda neno jipya; sasa litachipuka; je! Hamtalijua sasa? Nitafanya njia hata jangwani, na mito ya maji nyikani.
2026-08-25 05:00:42
48
Nancy💋 :
Amen Amen Amen 🙏🙏🙏 amen amen amen 🙏🙏🙏 God
2026-08-25 09:59:13
2
neey :
Amen and amen 🙏🙏
2026-08-25 18:40:38
0
The👑 King's Heart Within :
Amen naomba Mungu unitendee mema yako katika njia ninazozitarajia na nisizozitarajia,Ee Bwana Mungu unitendee mambo mapya tangu saa na hata milele,amen🙏🙏🙏