me kwenye gar nilkaa da manzi nikamuelew nikaona bila kumvunjia heshima nikaomba kama hvyo nipgie m2 kumbe najpgia na vle sm yang ilkua Haina saut bas nikajfanya hapokei kumbe nimejpgia mwenyewe baada ya hapo nikamcheck af saf2 nikamuelekeza akaelewa
2026-08-25 12:42:57
8
SI-FU-NA,,,, CASHMAN :
mbinu ya 2015 hapa kenya
2026-08-25 07:46:39
16
Produce Snake255 :
Akikupa simu yake sasa😅😅😅@
2026-08-25 10:20:03
10
cute :
umeweza bhan 🤣🤣🤣🤣
2026-08-25 06:35:05
5
Dully Kipito :
part 2 brother 😂😂😂
2026-08-25 06:15:29
9
NGONGO FAMILY :
hii imeenda😂😂😂
2026-08-25 05:40:41
8
jesca :
duh umeuwa kaka
2026-08-26 18:22:45
1
mbongo safi👍👍 :
nimeipenda iyobinu nitaifanyiakazi
2026-08-26 08:31:59
1
gorettie Gorettie :
suite
2026-08-26 00:16:50
1
user818137213615 :
🤣🤣🤣 mara papu simu kakapa kaka mwenywe
2026-08-26 18:43:19
1
Ali :
naikubali hiyo mbinu 😂
2026-08-25 17:47:08
2
Reverian Kamel :
next
2026-08-26 18:28:19
1
Welcom William :
kanifundisha système man
2026-08-26 21:14:17
1
My :
Félicitations vraiment
2026-08-26 03:04:37
1
To see more videos from user @eddyfun_, please go to the Tikwm
homepage.