@ukihty2: Umuhimu wa Swala ya Tahajjud (Point Point): • Huongeza ukaribu wako na Allah 🤲 • Dua hujibiwa kwa haraka zaidi 🌙 • Huondoa huzuni na kuleta utulivu wa moyo 💛 • Huongeza riziki na baraka katika maisha 💫 • Husamehe madhambi na kuinua daraja zako mbele ya Allah ✨ • Hukuza subira na nguvu ya imani 🕌 • Ni swala ya watu wema waliompenda Allah ❤️ #tahajjud #tiktokkenya🇰🇪 #tiktoktanzania🇹🇿
Brother, jazakAllahu khair for encouraging people to pray Tahajjud. 🤲 Just a respectful clarification: saying Alhamdulillah 500 times after the first 2 rak‘ahs and SubhanAllah 500 times after the next 2 rak‘ahs is not a specific method of Tahajjud established from the Prophet ﷺ, as far as authentic evidence shows. Dhikr, istighfar and praising Allah are beautiful acts of worship, but when we give a specific number and attach it to specific rak‘ahs, we should have evidence from the Qur’an or authentic Sunnah. If you have an authentic hadith for this method, please kindly share it so we can all benefit. Allah knows best.
2026-08-30 08:35:37
1
badidubz :
unaweza ukaamka theluthi ya mwisho wa usiku ambayo karibia ( alfajir ya uongo) then ukaswali rakaa mbili ambazo ( shaf'ii) then utatoa salam, kisha utainuka na kuswali rakaa moja ( witri ) kisha utatoa salam. na kumuomba mola lolote unalo taka kwake ,, 🤲 Allah atujaalie tuwe miongoni mwa waja wema wenye kumkumbuka na kumtaka msamaha kila wakati 🤲🤲
2026-09-10 07:28:26
1
Royz sunflower cooking oil🌻🌻 :
Allah akulipe 🙏🏻
2026-09-21 20:42:54
1
dija :
jazzakAllah khair
2026-09-16 11:36:21
0
ummuh_axqool :
Ooooh, unamaanisha hakuna Sunnah inayoitwa sunnatul tahajud? Yaani tahajud ni mkusanyiko wa hizo sunnah ulizotaja? Tuelimishe zaidi.
2026-08-25 08:42:44
0
Salma Journalist 🎤 :
naomba Kuja tahajjud lazim usali mwezi wa ramadhan
2026-09-01 08:01:30
0
katry🫠 :
Naomba kuuliza hio rakaah mbili za tatu ni sunnat istghar au sunnatl-hifadh?
2026-09-08 19:33:25
0
SAMI :
ukitaka ufanye hivo uamke saa 7 labda 😅
2026-09-13 04:37:05
0
To see more videos from user @ukihty2, please go to the Tikwm
homepage.