Asanteni wote kwa upendo wenu ,, ndugu yenu nimetoka mzima sijaumia tunamshukuru mungu 🙏🏽🙏🏽🙏🏽
2026-08-25 20:55:18
5
kvanny4 :
Natamn tilisho angepita bara bara ya mwanza to dar yupo vizr san kuliko hay mabasi ya kufukuzan njia nzima
2026-08-26 06:15:46
2
ramadhani maramsha :
hivi mwenye hiii kampuni anapata kweli faida maana kila siku maajali tu
2026-08-26 08:58:27
1
Tinki Singh :
Duuh polen sana wapendwa
2026-08-26 06:30:37
1
@ Brilliant beuty 💫💕 :
naiaminigi sana kaatarama kumbe nayo inapata ajali😭😭😭
2026-08-26 04:37:36
1
Joel shija :
poleni
2026-08-25 19:16:40
0
ELISHA INSTRUCTOR :
haya mabasi ya katarama sio mimi siwezi kupanda Tena nilitoka mwanza kuja dar ilikua ni shida njia nzima
2026-08-25 23:39:14
4
mggie087 :
Poleeee kipenzi
2026-08-25 06:08:41
2
Salim Naeem :
singida kwa ajali za mabasi n nomaaa
2026-08-25 23:25:37
0
seny boytz :
duuh katarama ndo ilikuwa bas pendwa kwa safar za dar to kanda ya ziwa lakin naona ajali zmewaandama sana kias kwamba tunahifia kupanda hii bas
2026-08-26 07:28:35
1
jonhamos paul :
ulivyo mlembo sas daah
2026-08-26 08:04:10
1
CHARLES KACHWELE :
Mwezi huu umekua wa moto sana kwenye ajali
2026-08-26 04:10:10
1
Avohjr..$💖💖 :
Pole sster ake lakn nakuja Dm kukutongozaaaa we mrembo Af sikuu nyingine Panda Allys star 🌟 huduma ziko vzr na barabarani madereva wap vzr sana pole mamaaa
2026-08-25 20:41:26
2
Rey🥰 :
iguguno shamba jamani poleni
2026-08-25 22:01:51
1
zungu :
hii kampuni ichunguzwe au madereva
2026-08-25 20:00:11
1
To see more videos from user @g.smile023, please go to the Tikwm
homepage.