@magarimaarufu: Moja ya kitu nmekiona Kenya ni namna ambavyo wa kenya wanajivunia Nganya zao ambapo zina Mziki mnene ndani, TV nyingi zilizozunguka karibu gari nzima, AC na viti luxury. Nini unakipenda kutoka kwenye NGANYA? #Nganya #magarimaarufuinkenya
MAGARI MAARUFU
Region: TZ
Tuesday 25 August 2026 05:41:15 GMT
Music
Download
Comments
lacoste🐊 :
nimeona punchline
2026-08-25 10:55:23
1
rajabjuma369🇰🇪🇵🇸🇹🇿 :
Tanzanians differ with Kenyans before they visit us ... akishafika Kenya hivi, anakubali kwamba we're the capital city of Africa 🌍
2026-08-25 06:06:05
113
@mc.morgan :
KENYA🇰🇪 THE PROMISE LAND
2026-08-25 07:39:46
1
prince tonie :
tivi ziko oni😅
2026-08-25 10:09:51
1
caren :
hajaona mood
2026-08-25 11:40:17
0
Prince patrick ke 🇰🇪 :
welcome home brother
2026-08-25 17:01:43
2
salim omar :
big up bro this is capital city of africa
2026-08-25 06:48:15
33
Crest visuals :
na hajaona mood😂
2026-08-25 11:16:13
28
coolmeshdemulaz :
na kuna nganya ujaona bado
2026-08-25 08:45:21
14
am_shax@ :
mbn Front mirror kama haioneshi hv sasa dereva anaonaaje mbele😂😁
2026-08-25 08:45:09
5
Mdhamini_⚡️ :
Na sasa kuna hii imeshinda Kenya 1 mara nne kwa mwaka nne mfululizo..hii ikona Tv kila kiti kama ndege..
2026-08-25 13:33:04
17
youngson132 :
Duh kweli izo nganya
2026-08-25 06:58:23
20
BILADI BOY :
Tz,hio uta ambiwa ni gari ya kulevya😂Marfuku,welcome 🇰🇪🔥
2026-08-25 09:25:49
9
Wizstylish🪮✂️💇💇♀️ :
kaka nitafika siku moja💪💪💪💪
2026-08-25 09:35:29
6
👑@COOP💫❣️ :
ingia mood
2026-08-25 06:26:53
12
𝑳𝒖𝒒𝒎𝒂𝒏.𝑨𝑩𝑫𝑨𝑳𝑳𝑨𝑯$ :
hawaja kupandisha mood Baba sio poa
2026-08-25 08:24:31
7
LEGEND :
Mr Magari Maarufu nimefurai umeshawasili uko all the best kwenye part 2 May Banch
2026-08-25 06:40:49
7
Mohammad mansour :
unakubalije mapema
2026-08-25 06:14:54
7
Kuzo Mike :
tuko na Yanga 🇹🇿 pia
2026-08-25 13:45:07
3
Kanye vest.. :
hata watulete muendo kasi hatutakiiiii tuko sawa na cukture yetu
2026-08-25 10:52:37
3
kevinombadho :
sasa hajaona mood yenye iko na dj mbele
2026-08-25 11:38:42
5
SAS04 :
Gari zinazoondoa stress😂 ndo hizi
2026-08-25 10:15:25
1
Mdhamini_⚡️ :
na hio ni moja ya kijana ya president Ruto…
2026-08-25 13:31:34
2
stanley astuwa :
welkam
2026-08-26 06:12:02
0
contagion03 :
na bado Ferrari
2026-08-25 11:13:40
0
To see more videos from user @magarimaarufu, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.