@smatek_solution: 🧑‍🧒Kwa mihangaiko ya siku hizi, mzazi kamwe hauwezi kuwa nyumbani kila dakika…. >>Unaweza kuwa kazini, kwenye biashara au safarini, lakini bado ukawa na uwezo wa kujua kinachoendelea nyumbani kwako, kwa sababu…… ✅CCTV cameras inakupa macho ya ziada yanayokuwezesha kuona mazingira ya mtoto/watoto wako ukiwa mbali, kufuatilia kinachoendelea na kuwa na rekodi pale unapohitaji kujua kilichotokea. 📲 Piga simu au tuma ujumbe WhatsApp sasa tukushauri na kukufungia CCTV zinazolingana na mazingira ya nyumba yako. Call/ WhatsApp us; 0675 744 022 🔥”smatek solution, ulinzi usiolala” 💰Gharama itategemea na IDADI ya cameras zitakazotosheleza kwenye eneo lako,,, . . . . . #cctvtanzania #cctvinstallation #cctv #usalama #kamera

smatek_solution
smatek_solution
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 25 August 2026 05:44:53 GMT
373
21
2
0

Music

Download

Comments

unique_issa
unique_issa :
namwachisha kazi haraka iwezekanavyo
2026-08-25 11:42:54
0
msuva72
msuva :
unamuuwa
2026-08-25 11:29:18
0
To see more videos from user @smatek_solution, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About