kumbe leseni ikiisha muda wake madeleva wanasahau kuendesha gari
2026-08-25 09:53:50
50
Kassim Omary :
Baadhi ya polisi na Madereva hawajui Sheria .... kwani baadhi ya Askari wengine wenye vyeo vya Juu wanaposema leseni inapoisha Sheria inakupa mamlaka ya kuendelea kuwa barabarani kwa muda wa miezi kadhaa na wengine Eti leseni imeisha Jana hutakiwi kuendesha gari Sasa kama wale madereva wa masafa marefu wanaokaa congo miezi na leseni imeisha akiwa congo vipi anatakiwa kuacha gari congo ili atumwe dereva mwingine ?
2026-08-25 08:31:43
17
sier ayoub :
upaswi kutumika hasira Mzee wetu angalia namna ya kusaidia madereva tunateseka sna mkuu
2026-08-25 07:57:55
16
user4217055853928 :
Doctor anasoma akipewa cheti hakina muda wa expaya ila dereva kila miaka 5 akasome yena daaah
2026-09-09 20:33:37
0
Mercedes-Benz Ujerumani :
kwani leseni ikiisha mda wake dereva anasahau kuendesha gar
2026-08-25 11:33:41
4
Dhulkarnayni Khidhri :
kwan ukienda kusoma kipi kina zidi wakat
barabara zetu ni izo izo pia na hmn kiengezek chengn juu ya teknolojia ya magari
2026-08-25 07:53:19
3
king23 :
ila Madereva wanapitia wakati mgumu sana kwenye hii nchi.
2026-08-25 13:20:35
4
𝓒𝓔𝓞 𝓜𝓐𝓝𝓨𝓐𝓡𝓐🚛🛣️ :
Maaskari sio kwamba hawajui sheria ila yote tisa ni ugumu wa kupata leseni then wanakuwa na manyanyaso kwa madereva
2026-08-25 09:30:58
3
wisperfect :
tukirudi kwenye uhalisia kuisha lesen siyo chanzo cha ajali ajali inasababishwa na dereva kutokuwa makini barabaran
2026-08-25 11:13:46
0
KB WAKUNZE :
50,60,70👍
2026-08-25 13:05:02
1
Steven Raphael :
ilikua lini
2026-08-25 09:11:27
0
Kassim Mwitu :
mbona kuna polisi wanandesha gari bila leseni
2026-08-26 10:46:40
2
Happymak Mtonyole :
du jaman yan udeleva hatunaela na tunasubuliwa sana mimi nimendesha gar miaka 18 ilanimeend kubadili wananipa na D mjaman tunashindwa kuelewa
2026-08-27 05:38:34
0
waziriitambu :
nyie mnauzalendogani
2026-08-25 07:55:32
4
@dj muuuh255 :
ingekuwa Ivo na vyeti vya shule zote viwe vina Isha muda walio ajiliwa wote waludi shule tena kwa nin madereva Tu na ata awo awo askali wawekewe miaka mi 4 aludi shule kupata mafunzo upya atoe vyeo vyote aanze mwanzo
2026-09-03 09:51:51
2
Sayuki Sheshushi :
huyu Abiria ni bora asipakowe tena
2026-08-28 19:51:05
1
chaula_-benson :
kwani lesen ndio inaendesha gar
2026-08-25 09:21:37
1
ALVIN J.J 🗽 :
tunataka matrafiki kila miaka 4 wakasomeee na kabla hatuja kaguliwa waonyeshe vyeti vya ufaulu
2026-08-27 13:45:07
1
MOHAMMED ABDI :
sio hatutake kusoma hatuna hela ya kwaenda kusoma
2026-08-25 08:08:59
2
sharifu ramadhani :
sasa madereva wanao endesha gari za serekali wanasabisha ajali mbona hamuwafatili au ndo serekali
2026-09-10 07:08:37
0
mager power starts 💪 :
sasa hata kama lesen imeisha kwan si gari bado ana jua kuendesha kwan resen ikiisha na gari anakua haliwezi
2026-09-10 06:32:07
0
Godfrey Godfrey kashaija :
hivi mbona maaskari wetu wanatufanya sisi madereva tuwe na halingumu ya maisha dah jaman eemungu tusaidiesana
2026-09-10 05:59:46
0
its kenzo officialy Tz :
yaan maasikali wamesha ona kuonekana wanafanya kazi kwa madeleva kwan madereva tukiwakosea nn ety
2026-09-10 06:45:46
0
To see more videos from user @isack.nunez, please go to the Tikwm
homepage.