@faridabeautyacademy: Kwa wote mnaojifunza kusuka Cornrows au Stitch Braids 💇🏽♀️✨ Nashauri kwa matokeo mazuri zaidi, anza kwanza kujifunza kusuka kwa nywele ya mkono, kisha ndio uende kwenye kusuka Rasta. Hii itakusaidia kupata uelewa mzuri wa kubana, kupanga mistari na kufanya kazi kwa usahihi. 👌🏽 🎓 Kwa mafunzo zaidi, karibu FARIDA BEAUTY ACADEMY — tunatoa mafunzo bora ya urembo na ususi kwa vitendo. 📢 NAFASI ZA KUJIUNGA NA CHUO ZIPO WAZI! ☎️ 0657 292 650 📍 TUPO DAR ES SALAAM – TEGETA NYUKI Farida Beauty Academy — Tunaposema tunafundisha, tunamaanisha! ❤️
Nina mtoto mdogo anataka kujifunza ila yupo burundi nikimsafirisha unaweza mpaka hifadhi kwa mwezi 2 ya liking shule akajifunza alafu nikalipia Kila kitu?
2026-08-25 07:13:47
0
Janeth :
nakupenda my lolmodel
2026-09-04 18:01:42
0
To see more videos from user @faridabeautyacademy, please go to the Tikwm
homepage.