@rascol_medy: 😂😂😂😂 #rascolmedy #rascoltv #tiktoktanzania🇹🇿 #foryoupage #comedyvideo

Rascol Medy
Rascol Medy
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 25 August 2026 06:24:27 GMT
134039
14562
679
240

Music

Download

Comments

emmyl85
Emmy🤍 :
Maji ya barid na njaa😂fa mchezo nini
2026-08-25 07:11:41
93
user631358497520
NASRA :
Salomw leo umeongea point😂😂
2026-08-26 21:55:21
0
mwanaah65
mwanaah65 :
🤣🤣🤣wa kwanza leo
2026-08-25 06:26:45
81
mama.ahil2
blessy :
i love this woman🥰
2026-08-26 10:24:08
0
mwasity.dikinga
mwasity dikinga :
mmhhh salome dadaangu umepotia meng
2026-08-25 16:13:07
1
msurimsuri385
msuri one :
mungu amueke huyu dada ananifanya nisahau kama nina stress
2026-08-25 10:05:26
47
sarahnamae478
Sarah Namae :
ila Rascol mbona wanichukia mimi natoka kenya nimeingiza videos zako hila hunipi support mbona kaka usiwe hivyo nawapenda sana
2026-08-25 09:33:24
27
user8562087866115
mama nancy :
😂😂😂iyo kubwa
2026-08-26 06:16:03
0
el_capitaniel
Nonchalant17 :
unaoga maji ya baridi hujala😂😂 aahh kumbe nile kwanza ndo nioge🙌
2026-08-25 07:08:03
51
im.genna6
im Genna :
vivianeth nakusubiri🤣🤣🤣 najua huwez kupitwa kwny hili
2026-08-25 08:51:22
11
lclaud3
lilian :
😂😂😂 alifanya nn hadi kupelekwa jela
2026-08-25 09:55:10
2
mama_kld
Barke mtika :
Tumeshamsahau king’a tupo zetu na salome wetu🤣🤣🤣
2026-08-25 07:44:29
18
sia.massawe1
Sia Massawe :
Ila Salome kana saa Ana story
2026-08-25 08:55:00
0
maliamhajj3
black in Africa :
misnakwambia😂😂😂
2026-08-26 18:44:22
0
user2267958124112
Kamakawer :
Rascol nikweli stor zake za jela maana nimekuwa nikimsikia mara Kadhaa?
2026-08-25 07:08:45
18
user4022659537371
Masoud :
bonge la somo ukiangalia kama vichekesho ila kiuhalisia ukisikiliza anamaanisha kitu yani maisha ni kuishi kulingana na hali inayo kuzunguka yani ishi kwa furaha haijalishi upo mazingira gani ukisusa wenzako wanakula, yani dada kaishi maisha ya tabu ila anajikubali jinsi alivyo.
2026-08-25 09:28:59
12
raycho735
💕Dr Soulmate💕 :
50/50
2026-08-26 10:44:33
0
swagilizo
mr H³ :
nafurahi nikiwa namsikiliza uyu dada.🙏🙏 Mungu amjalie itokee cku akili yake iwe sawa
2026-08-25 10:19:24
9
emmy81942
minah :
ila kila nikiona clip zenu nacheka kama chizi😅😅😅
2026-08-25 19:10:33
5
dipro040
Dipro j4 :
Salome kasema hawezi kula ugali na njaa asubuhi🤣🤣😂😂😂😂😂😂
2026-08-25 06:59:36
8
benedict.luvanda
ben :
Leo ndo nimemuelewa
2026-08-25 08:35:22
12
jovitha.haule5
Jovitha haule :
😂😂
2026-08-25 07:33:54
0
anchillarwehumbiza
anchy :
@vivianeth🥰
2026-08-26 10:36:02
0
haxan21_para6
Haxan21_para :
Kuoga maji ya barid hujala isikie iyo😂😂
2026-08-25 09:39:23
2
leticiaibrah
leticiaibrah :
ila maa mgwani nachoka mimi aaah😂😂😂😂😂😂
2026-08-25 19:33:41
1
To see more videos from user @rascol_medy, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About