I love Tanzania and am feel veery proud to be Tanzania’s
2026-08-26 00:23:14
3
jembe lao :
proud being Tanzania
2026-08-25 07:53:10
1
user131561855 :
Sasa tunaomba mama umeme upuguee bei wa elf 10 ziweee unit 100
2026-08-25 15:18:15
10
Mr wachu :
magufuli alikuja kwa kusud la mungu mwenyewe!
2026-08-25 17:01:15
17
chosen one :
Heche alisema bwana halina maana yoyote kuliko mtu moja kutekwa,,,pengine yupo sahihi lakini sizana serikali inamteka mtu ambae haha hahatarishi usalama wa nchi.
2026-08-25 09:07:38
16
Otieno :
umeme uwe kama sauth Africa uswairini umeme bureeee
2026-08-25 15:06:48
2
Saimon saria tindi :
Kabla ya kuuza nje kwanza watupunguzie bei jaman🙏
2026-08-26 07:16:08
2
SIZEYAKO :
Wazungu wakiona munataka kufanya kitu endelevu hawapendi ,wanachokitaka wao waone kila kitu tunawtegemea mboni tulishasoma historia ila bado watu hawataki kuelewa
2026-08-25 08:50:20
7
diffany2020 :
wanao nufaika n wachache
2026-08-25 09:34:49
1
Tom Naabona :
Sio kweli, pesa nyingi ilikopwa
2026-08-25 09:55:29
1
Dalmatius P.G.F :
mbona iringa umeme unakatika tuuuuuu
2026-08-25 19:04:17
1
Arr0w :
2026-08-25 06:47:09
1
SHAZOMILL :
ndio watupunguzie bei ya unit sasa
2026-08-25 09:58:35
2
Saheeb :
Sasa Mbona umeme bado unakatika?
2026-08-26 08:11:28
2
Boniventure tz :
Ili tujivunie umem uwe bei nafuu lakin serikal yetu inawaza biashara ipige dili lakin sio unafuu kwa ajil ya wananchi
2026-08-26 04:35:32
1
Emanuel Mwangulumba :
Mwenyezi Mungu hapendi kulalamika
2026-08-25 18:48:48
1
Mussa Sulleiy :
sasa mbona bei hazishuki??? acheni ujuaji
2026-08-25 19:04:11
0
lawrence :
bro hongera kwa eiimu sahihi kwa jamii
2026-08-25 16:11:06
1
Mwasonga Ranch :
uhakika tunaweza @🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
2026-08-25 15:27:46
1
Lutobeka tz 🇹🇿 :
kama ni umeme ni wetu Kuna haja gan yakuwa tunauziwa bei kubwa me binaf naomba unit Moja iwe inauzwa hata shilig100
2026-08-26 05:40:17
1
SHEKHE TEMBO :
yaani wewe Dj SMA, Wewe ni "KIPARA GENIOUS" masha-allah. hadi sasa umeshakuwa Mtu muhimu sana kwa vijana wa Gen Z, Allah akuhifadhi kaka.
2026-08-25 08:54:15
4
LGS :
lakini kwa tabia ya nchi yetu SMA unaweza kuta wanapandisha bei ya umeme wakasema uendeshaji mgumu, NCHI YETU 😢
2026-08-25 17:32:08
0
Tinny six :
hakuna kuuza umeme nje wakati tulio nao unakata Kata, labda tuazimishe miaka kuanzia 10 bila umeme kukata ndo tuwagawie majirani zetu Kenya
2026-08-25 14:45:18
1
valle veruli :
ni kweli kaka tunatakiwa kujivumia ilo aina shaka shida yetu sisi watanzania baadhi ya wasimamizi ni wabinafsi kwa nini nasema hivyo si unaona tuna umeme wakutosha itakuja kutokea mgao wa umeme nchi nzima .
2026-08-25 08:31:31
1
To see more videos from user @djsma255, please go to the Tikwm
homepage.