@jayvanny.maphoto: PICHA NA VIDEO KWENYE SHUGHULI 📸✅ 0715871621 📞 KAZINI KUNA KAZI #uswahilini #uswazi #dance #viral #tanzaniatiktokers

JAY VANNY MAPHOTO
JAY VANNY MAPHOTO
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 25 August 2026 07:01:43 GMT
406777
25149
217
262

Music

Download

Comments

suzanagaudence
C.G family💌 :
Yaan nimemuon yasinta nikashtuka alikuw amekufa nikasema msukule kweny shugul kumbe ilikuwa movie😂😂😂😂
2026-08-25 08:46:36
198
declein1
💫D.E.C.L.E.I.N❤ :
Bibie yupo simple adi raha
2026-08-25 15:15:11
84
isherally801
ishertz🥰🥰 :
i ask for the last time where is siwa?
2026-08-25 09:24:28
8
official_jsm1
Jacque Cutee❤️ :
Nimemuona marehemu yasinta
2026-08-25 13:40:27
29
faith72784
Faith :
Mbona taiya leo ajachangamka au macho yangu
2026-08-25 09:43:59
78
aishanassoro572
@eysha nassoro :
Siwa sjamuona
2026-08-25 09:06:13
25
msoma2022
Msoma2022 :
asnat kama bibi msinichambe naumwa
2026-08-25 19:31:19
20
sophia.tamalau8
sophia tamalau :
shughuli ya nini
2026-08-25 10:53:04
5
user8005853063097
Zuisa😍💯og :
Siwa simuoni
2026-08-25 09:02:12
3
aisha.mshabaha
@awash baby01 :
Bibie kapendeza mashaallah
2026-08-25 08:26:00
8
rubig60
De only one 🧚‍♀️ :
sherehe ya nani hii
2026-08-25 14:43:20
0
hadijaakram
gracious :
taiya kanuna
2026-08-26 14:23:23
3
rachel.william86
RACHEL William :
kumbe yasinta na chiku wanaelewana na yasinta ajafa🥺🥺🥺
2026-08-26 12:04:27
1
naa.star7
Naa 🍀🌸 :
Mashavu pambe tu🥰
2026-08-25 11:52:51
7
officialbabeangel04
🦋💜🔐 :
naingoja tu season ya 3
2026-08-26 07:15:01
2
user4993488150314
dogo mido tz :
jamani kombolela amtoi seson3
2026-08-25 09:24:08
6
azizialawi106
MA AZIZA VIJORA QUALITY :
jamanii kombilela tumeimis
2026-08-26 07:02:44
3
mickypopy2
micky🍁 :
kwani kulikuwa n nin jmn
2026-08-27 07:30:24
0
azzalicious
azzabebz :
mbona siwa haonekani
2026-08-25 17:15:27
0
johnmasula421
hawa mwaibula :
mashalla wote tim kombolela mmependeza mashalla mashalla
2026-08-25 09:06:36
3
khadija.shabani842
dee🦋 Cute842😘🥰🦋 :
tunataka sesson 3 turned hatima choro atatoka maana kauwa bila ya kukusudia huruma jamani
2026-08-25 12:07:05
4
rebekadaniel295
Heaveny b@by💝💞✌ :
yasinta jmn😂😂😂
2026-08-25 10:20:06
1
cute.balsam
cute Balsam :
chanuo cjamuona
2026-08-25 07:35:35
3
zainabsalumu2026
mariam j :
shughuli ya nan jmn
2026-08-25 17:21:03
1
applebai
Apple Bai💕 :
Jamani kujiunga na hii team sh ngapi?
2026-08-25 14:47:47
2
To see more videos from user @jayvanny.maphoto, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About