@lawengroup: Kupitia shirika la Lamu Women Empowerment Network (LAWEN), linalojikita katika masuala ya amani na mshikamano katika jamii, tumepata nasaha muhimu kutoka kwa Mzee wetu, Mwalimu wetu na Ustadh, Sheikh Fadhil Mdathir, akisisitiza umuhimu wa kusuluhisha migogoro, kuzuia vita na kujenga amani katika jamii. Ameendelea kutukumbusha kuwa amani hujengwa kwa hekima, uvumilivu, kusikilizana, kusameheana na kuheshimu tofauti zetu. Tunathamini sana mafundisho na mwongozo wake katika juhudi za kuimarisha amani, mshikamano na utulivu katika jamii yetu, kwani amani ni jukumu letu sote; tuilinde, tuihimize na tuijenge kwa pamoja.

LAMU WOMEN EMPOWERMENT NETWORK
LAMU WOMEN EMPOWERMENT NETWORK
Open In TikTok:
Region: KE
Tuesday 25 August 2026 07:18:32 GMT
2609
139
14
16

Music

Download

Comments

somo.collection
⚽️👕Sõmõ Cõllectiõn👕⚽️ :
great work lawen🫡
2026-08-25 19:11:29
2
halimahussein73
halimetbhay :
mwalimu wangu,mashallah mungu akupe umri mrefu uzidi kutuongoza kwenye njia ya sawa
2026-08-25 14:47:04
4
user4473507759031
abuza :
Mungu Akulinde n maneno ya watu n ukupe umbry mrefuu uweze kutuelimisha daima mwalimu wngu
2026-08-25 19:25:41
3
kajaa.baba
kajaa baba :
mungu akulinde mwalimu
2026-08-25 18:47:47
3
sincerity799
Cateejah🦋 :
Allah amuhifadhi daima babangu❤️
2026-08-25 16:07:56
2
magastoni
sili kwako 005 :
mashallah
2026-08-25 18:16:05
1
twister.gwal
Twister gwal :
mwalimu wangu Mungu akupe umri mrefu
2026-08-26 07:04:32
0
sanyo.ssh7
Happy nation :
Mashallah ustdh sheikh maneno mazuri iko wapi rasini
2026-08-25 22:08:15
0
tr.muna
Tr.Muna :
Mungu akuhifadhi mzee wangu
2026-08-26 05:11:36
2
mayrah756
mayrah :
mashallah
2026-08-25 14:33:50
0
zahira_moha3
Zahira_Moha3 :
Shekhe uwe ni nvundifu na vachu vako yambo lindakwisha kuchendeka halidi ndakwisha kuvuawa vanafik vakuru ini
2026-08-25 16:48:45
0
To see more videos from user @lawengroup, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About