@fikrachanya_tz: Mwongozo wa kukusaidia kuelewa mzunguko wa overthinking, kutambua kinachochochea mawazo yanayojirudia, kujifunza mbinu za kuyasimamia na kuanza kujenga utulivu wa akili. Ndani yake utapata: SELF-ASSESSMENT — kujitathmini na kutambua maeneo ambayo overthinking yako inaonekana zaidi. MAZOEZI YA VITENDO — kuanza kutumia unachojifunza, si kusoma tu. MPANGO WA SIKU 30 — kujenga hatua ndogo za kila siku za kuanza kubadilisha mfumo wako wa mawazo. Huhitaji kuwa mtu asiye na mawazo. Unahitaji kujifunza kutotawaliwa na mawazo yako. Bei ya kawaida: Tsh 10,000 BEI YA UZINDUZI: TSH 9,000 Ukitaka nakala yako: Tuma “NATAKA KITABU” DM au WhatsApp. 0746078384 . . . . #AchaKufikiriSana #Overthinking #UtulivuWaAkili #AmaniYaNdani #fikrachanya

Fikra Chanya
Fikra Chanya
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 25 August 2026 07:32:29 GMT
108340
2191
138
755

Music

Download

Comments

faridacharles39
Farida [email protected] :
mm ni overthinker lakin sipend hali hii maan naona inanikondesha 🤣
2026-08-25 16:42:39
19
sofiaabbu
sofia abbuu :
daah ni mm kabisa ukijumlisha ni virgo na group 0 nachoka🤣🤣
2026-08-26 11:43:20
2
ms.f.a.v.o.r.a.t
mamy nei🤍💋 :
Afu awe Virgo Kama nikeshe nachambua adi mwili umegomaaa
2026-08-26 10:26:10
0
oxygen.738
oxygen :
zip hasara za overthinking hadi niache 🫠
2026-08-25 09:27:19
2
kanijunour14
⸸༒Nudzra༒⸸ :
umetoa siri zangu😳
2026-08-25 08:44:08
5
jerehspenser
jerehspenser :
Mimi Ni overthinker ila inaboa mpaka najiona ka bwabwa vile
2026-08-26 10:54:36
6
obedshadrack
Obey :
kuna ushirika gani kati ya overfhinker na blood group O?
2026-08-26 12:36:09
1
nicari78
easty :
ukidate na overthinker alafu ni Gemin kwisha wewe
2026-08-26 07:14:25
1
dee_mwakhi
𝓜𝔀𝓪𝓴𝓱𝓲🐴 :
na ieleweke kuwa kuna overthinker na uchizi 😂
2026-08-25 19:59:54
1
alphoncemihenga
alphoncemihenga :
kumbe sio mimi tu nipo na wenzangu
2026-08-25 14:59:25
7
blackgiant_tz
blackgiant_tz :
that's sure
2026-08-25 09:03:27
1
milfat95
Milfat :
am leaving with all 😔😔😔🙌🏻
2026-09-14 12:31:33
0
stelliekisanga
Stella kisanga :
mbona mimi huyo mhhh
2026-09-20 17:14:43
0
kelly.g737
rittaa kimaro :
vip kama mkikutana woote ma overthinker kuna kinachoendelea kweli au kila siku ni kusuluhisha ugomvi 😂😂
2026-09-04 19:53:58
0
miss.glory27
Voice of Justice 🔨⚖️⚖️⚖️⚖️⚖️ :
kitabu nakipataje?
2026-09-04 09:19:52
0
lifew.linnah
Dami cute🦋🦋 :
yoooooooh ko mim ni overthinking 😂😂😂😂😂😂
2026-08-25 14:26:59
1
margah_021
Magrah_021🌸♊️ :
Mm Ni overthinker + Gemini ♊️uwiii kuna mda ata mm mwenyewe najichambua au najichukia kabsa Na hakuna anaenielewa kabsa japo hata mm sipendi hii hali 🙌😔
2026-09-09 00:26:07
1
peachesriry
RachelB :
Mm pia jaman mpk nakonda,apa tu nipo kumchambua ameniambia lv uu nasio lov uu babe na wakati hasemi ivo naweza nikawaza mpk kunakaribia kukucha
2026-08-25 21:26:53
1
prince_melody232
Golden_Melody💦💦 :
sas muna nisaidiaje na sinyaaaa walah
2026-09-13 20:59:47
0
gadistanley227
His Majesty :
I want to stop this
2026-08-31 08:40:50
0
chiomar486080147486
chioma :
nataka kitabu
2026-09-01 10:58:12
0
happ2025
Therealhapie ❤️‍🔥🫂 :
Mimi uyu kabisa 😩😩
2026-09-01 07:13:04
0
shuuoscar
shuu oscar :
watu mna tujua daaah ni mim kabisaa
2026-09-16 19:27:47
0
genuinejeweller
The GENUINE JEWELLERS 💎 :
Msisahau kua overthinker hatutoki nje ya Bajeti zetu, hatukopi pesa hovyo, tunayaona maisha yetu almost ya Mwaka Mzima kwa siku moja…
2026-08-31 11:38:57
0
nuraty18
!ts”Nurat😜 :
fact
2026-08-25 09:42:44
1
To see more videos from user @fikrachanya_tz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About