Shukran. Mimi kabla ya kulala hua tu namwambia Allah naomba uniamshe saa tisa na kweli inakuwa hivyo jamani Allah ni mjuzi sana na anaskia kila kitu.
2026-08-25 08:42:36
46
mamis :
ndio mm namka bila.yakueka alam
2026-08-25 08:44:30
7
myduty :
Pia, shida zangu zinaniamsha!!!...You can't imagine how I wait to talk to Allah... Yani!!! I can't even explain... Hawa nafeel ni kama appointment ingine important ambayo siwezi miss!... I look forward to having Allah listen to me special!!! wueh! Raha tupu!
2026-08-26 05:06:00
4
missis moody :
Sasa kuota lazima ?
2026-08-25 18:48:13
1
princess Rashid ❤ :
Tahajjud Ina rakka ngp,,na una tia nia vipi
2026-08-29 16:06:46
0
Mwashumu Nassoro :
mimi naamka bila ya alam kila siku
2026-08-25 17:56:40
8
Saumu Rasheed :
mashallah dada mzuri
2026-08-25 10:11:01
1
Maisha :
naomba iyo sura dear
2026-08-25 08:52:35
1
Rehema Mikina :
pia unaweza kusoma surat kahf aya 109 nakuomba Allah akuamshe mda unaotaka
2026-08-25 18:59:48
1
fatmaabdul245 :
innamal a'amal binniyaat ukiweka nia kabla ya kulala pia unaamka
2026-08-25 17:05:53
1
ladylylo_store :
mm yaani nashukuru Mungu huo muda lazima. niwe macho
2026-08-25 08:35:57
3
Fetty’s Bakery :
Pia hata ukiwa na Nia ya dhati kabisa ukifika tu huo mda lazma utashtuka
2026-08-25 17:35:10
4
Ummu Suhayl :
Vizuri sana wallahi
2026-08-25 17:06:29
1
Nana🥰 :
alhmdulillah nashkuru huamka bila alarm
2026-08-25 16:52:02
2
Safia :
🥰
2026-08-25 11:02:18
1
💕 mashangai 💕 :
Ndio
2026-09-05 16:12:19
0
🍒 Ashura🍒 :
Allah akujalie
2026-09-16 22:38:43
0
ummuyahya2006 :
Shukran
2026-09-08 19:29:24
0
Mrs. Ochu OG :
Ukisha kuweka nia tu udugu wng basi Allah anajaalia unaamka.
2026-09-22 18:06:10
0
kuty.inspires :
wallah sikuwah kujua kuwa ndoto mbaya ni miongoni mwa namna ambazo Allah anaweza kutumia kutuamsha tusimame mbele yake usiku🥺
2026-09-10 14:15:21
0
Llylan :
kila kitu kinaanza na kuamini
2026-09-09 18:26:10
0
whatever :
Mimi huamshwa kwa kubanwa na haja ndogo 😂😂😂 kila siku saa saba,,,alhamdulillah
2026-09-20 11:13:51
0
less5 :
insha'Allah
2026-09-09 13:24:24
0
Queen naslicious :
Ni ayatul Qursi
suratul Al-Qadr ama daa..
2026-09-01 12:28:30
0
sss :
shukuran bint mzur
2026-08-25 17:46:09
1
To see more videos from user @najlafuadahmed, please go to the Tikwm
homepage.