@jaysontz2:

Jayson
Jayson
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 25 August 2026 07:55:26 GMT
9118
278
23
16

Music

Download

Comments

hope.shonza
Mbushi Haisule :
yakweli hayoooooo
2026-08-25 08:05:56
2
ahmedally8105
ahmedally8105 :
uongo
2026-08-25 08:47:20
0
borahlemmy
Borah Lemmy :
anajiuzulu chadema au?
2026-08-25 09:12:32
1
officalree7
officalree :
baba
2026-08-25 09:28:59
0
madee9872
madee :
hakuna anaeweza ya mpango
2026-08-25 08:45:03
0
user32499979260298
moses :
Eeh mwenyezi mungu tujalie aman nchiyetu
2026-08-25 09:13:34
0
aunt.queen00
AUNT QUEEN❣️ :
nakupongeza hali imekuwa mbaya
2026-08-25 09:50:58
0
msingaally2
msingaally :
Namuunga mkono % yuposahii sana
2026-08-25 09:47:12
0
emmanueli71
emmanueli71 :
Niko pamoja nae
2026-08-25 08:03:16
1
muhozya.seleli
Muhozya Seleli :
mnapenda kujiamlia mambo
2026-08-25 08:25:52
0
user2882825158084
yohana :
safi mzee kwa kuona nbal
2026-08-25 08:41:38
0
totutene1919
totutene1919 :
apana
2026-08-25 08:55:56
0
peter.basili
PETER BASILI🇪🇹🇪🇹🇪🇹🇪🇹🇪 :
wimbo wetu wa Taifa ni mzuri sana aisee ukiimbwa kama wimbo wa kuabudu aloooo🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰
2026-08-25 09:01:03
0
officalree7
officalree :
nakupenda mpaka nashindwa kula
2026-08-25 09:29:55
0
nay4133
nay :
Na Atoke hatasasaivi wangapi na sasa hawapo chezea CCM wewe.
2026-08-25 09:15:26
1
yusto.og.saimon
Yusto og Saimon :
kajiuzilu ndio nchi hii kunamambo yamejificha
2026-08-25 09:13:46
0
soipeyrolekimaki
soipeyrolekimaki :
kuna nini cha ajabu kujiuzulu mbona hajaanza yeye?
2026-08-25 09:33:20
0
masopalajr.1
🤍Sidě فذكرا :
majaliwa aliona akajuuzulu huyu na kajiuzulu tukisema raisi anashida hamuelewi
2026-08-25 09:38:05
0
user1349040724092
RASHID saidy :
🕜
2026-08-25 09:59:41
0
selenguziabdallah
SBA NEXUS :
Uongozi ni dhamana, na kila uamuzi wa kiongozi unapaswa kuheshimiwa pale unapofanywa kwa maslahi ya nchi. Cha muhimu si mtu kubaki madarakani, bali ni kuhakikisha Tanzania inaendelea kuwa na utulivu, mshikamano na uongozi unaolenga maslahi mapana ya Watanzania. Tunamtakia Dkt. Nchimbi kila la heri katika hatua yake mpya. 🇹🇿
2026-08-25 09:37:23
0
To see more videos from user @jaysontz2, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About