@mrshadracktz: #creatorsearchinsights Katika kijiji cha Kibebe, kuliripotiwa kukamatwa kwa baadhi ya watu waliodaiwa kuuza nyama ya mbwa. Baada ya kusikia taarifa hizi, nilifunga safari hadi Kibebe ili kujua ukweli wa kinachoelezwa. Nilipofika, baadhi ya wananchi wa vijiji vya jirani walieleza kuwa kula nyama ya mbwa ni jambo linalofanyika katika eneo hilo. Hata hivyo, tulipofika Kibebe wenyewe, mwanzoni baadhi ya watu walikataa taarifa hizo. Baada ya kufanya ufuatiliaji na kuzungumza na watu mbalimbali, baadhi yao walikiri hadharani kuwa wanakula nyama hiyo. Baada ya video hizi kupostiwa, nimepokea taarifa kutoka maeneo mbalimbali zikidai kuwa ulaji wa nyama ya mbwa unafanyika pia katika maeneo mengine. Natarajia kufika baadhi ya maeneo yaliyotajwa, ikiwemo Morogoro na maeneo mengine ya Mkoa wa Iringa, ili kuendelea kufuatilia na kujua ukweli wa taarifa hizi. Endelea kuufuatilia ukurasa huu, nitakuletea simulizi na ushuhuda kutoka maeneo mbalimbali. #babahapumziki #IringaNyumbani #Kibebe #Morogoro
Mr Shadrack
Region: TZ
Tuesday 25 August 2026 08:19:14 GMT
Music
Download
Comments
mohamedi856 :
dah huyu mzee noma sana
2026-08-25 09:50:59
4
Frank Emson :
2026-08-25 16:15:06
0
Dakitari Wallace :
waislamu mnasemaje kuhusu na hili.
2026-08-25 16:33:36
0
Herry😇❤️ :
Bora kajisemea ukweli😂
2026-08-25 11:09:19
0
Baddies Cabro 🐐 :
2026-08-25 11:15:45
0
double task 🤛🤜 :
Kuna washirika bwana 😂😂😂
2026-08-25 10:29:53
0
alhaji-chaula :
nimependa ukwel wake mzee😁😁😁😁
2026-08-25 11:45:01
0
omar gwelino kmwilapwa :
duuuu
2026-08-25 09:26:55
0
chonile :
yani anataka awaonyeshe wanavo fanyaga ripota lete dog atuonyeshe sasa
2026-08-25 16:20:45
0
BABA J&J🏃ser739714458178 :
😂😂😂 twinalyooo, ukutuhongera nyoni vee
2026-08-25 08:51:10
0
💡 technician :
duh ila jenusi haya
2026-08-25 11:13:03
0
Be smart always :
Njooni huku niwengi
2026-08-25 16:07:43
0
AYOUB TAFFY BHACHU :
confidence ya 1000%
utaalamu 1000 capacity
mzee ni expert mkubwa sana kwenye hiyo kitu
2026-08-25 14:54:52
0
Sabrina jimmy :
@Joseph Kakingo tukaribishe kwenu banaaa😁😁
2026-08-25 10:09:57
0
Ibrah🦁 :
@Na_bi🦋🫧❤️ Njoo mchukue babu yako huku @Dygn 🤣🤣🤣🤣
2026-08-25 10:33:10
0
To see more videos from user @mrshadracktz, please go to the Tikwm
homepage.