@gisboy__tz: Tatizo lipo kubwa tu 😂😂😂😂😂😂😂😂😂 #viral #Love #tiktok #treanding

Gisboy_tz
Gisboy_tz
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 25 August 2026 08:38:00 GMT
23625
1497
149
139

Music

Download

Comments

palestach.joel
Pales :
Au mmegombana mmenuniana😂😂
2026-08-25 16:20:30
43
ladychdgd6t
lady chady💴❤ :
Me nikiona amenipigia pigia anajichekesh chekesh nakupenda zinakuwa nying akikata tu nashtukia mchezo naanz kumpigia kila baad y dkk 1😂😂
2026-08-25 17:36:03
31
being.jessie
Jessie🤎 :
Niongee kwa kukaa au kwa kusimama 😂😂
2026-08-25 10:47:46
33
miss_sadia200
Miss_sadia 😘🤩🥰 :
ani me nikienda kwa babe wangu mda wakuondoka, hua naumia sana😂😂 hua naona mbona kama kuna mtu mwigine anakuja hapa....
2026-08-25 16:33:22
11
first.born9116
first born🌺🌝 :
My man huwa anatokaga kuongea na mpenz wake njee akirud tunaendelea na mamb yetuu 😅
2026-08-25 19:41:38
4
simba_nolimit
SIMBAH🦁💀 :
Usifikirie sana!. Ukifikiri sana hii dunia sio sehemu yako sahihi
2026-08-25 19:26:59
8
nirema0
nirema0 :
ni kwl
2026-08-25 16:55:15
0
sheismia2
sheismia2 :
Code😂😂😂
2026-08-25 19:37:09
0
user7243360562140
🍒cherie-osborn :
😂😂😂😂😂kwakujiamulia mambo 🫴
2026-08-25 19:28:52
0
gibz62
Gibz :
kka mnapendaaa kutoaa code
2026-08-25 21:18:08
0
user692912300
Carren__kimario✌️💘 :
uhakika brooo
2026-08-25 19:58:20
0
dayana_3631
it's Dee❤ :
Ongeza sauti please 🤣🤣🤣🤣
2026-08-25 19:44:44
0
20078290pearl8
pearl 🦋🦋 :
Uyu nae
2026-08-25 18:59:13
0
tumaininjogolo2
HOPE Styles 🥼 :
Kwakwer Mimi Wangu Ali nichiti Alitoka kwangu kesho napigiwa simu yupo na mwingine mapenzi yako 😭
2026-08-25 21:26:24
0
samayra159
KINA CLASSIQUE 🫆 :
Hapo Hapo 😂
2026-08-25 18:32:02
0
happiee471
Seki cutie💦💞💓 :
mbona unatoa code😅
2026-08-25 20:23:19
1
lissahpoul
Nicole🍒 :
Hii code umefuzu mkuu😂😂
2026-08-25 18:30:14
0
user97156575860981angel
official angel :
wewe ni mkuu unaya juaje hayA😂😂😂
2026-08-25 20:22:00
0
aryah6732
Aryah**🌺 :
Bwana atajua mwenyew
2026-08-25 16:58:38
0
user6529696873453
lista Jackson🍎🩵 :
Akuna sehemu ya voice nikiandika sito maliza 🥹
2026-08-25 19:26:56
0
carrycameron0
carry❤️cameron :
kwel bro 😂
2026-08-25 19:12:39
0
brina02242
brina :
Kwann useme ukwel sasa 😂
2026-08-25 18:38:01
0
To see more videos from user @gisboy__tz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About