@veriafya: Credits: BBC Swahili Ufafanuzi huu ulitolewa na Tarsila Emmanuel, Muuguzi Bingwa na Mbobezi wa Magonjwa ya Figo kutoka kitengo cha Kuchuja Damu (Dialysis), Hospitali ya Taifa Muhimbili.
wataalam wetu badilikeni msifanye tafiti kutokana na ilivyoandikwa kwenye vitabu , tokeni ofisini nendeni mtaani muonane na vyakula wanavyotumia watu mvipime ubora wake , ushauri mnaotoa ni ule wa kihistoria /kwenye vitabu lkn uhalisia kwa sasa kuna maradhi mengi mapya kutokana na mrundikano wa vyakula vyenye kemikali mitaani na watu wanatumia bila kujua , lkn pia hata kama ni biashara ya mtu maarufu lkn inamadhara kwa binadamu semeni ukweli ili watu wawe salama.
2026-08-25 10:28:56
9
Ajia :
Watengenezaj wa energ waache tu hii ya energy nimeisikia sana
2026-08-25 09:52:39
1
Ntuzu boy :
vipi kuhusu fantasi
2026-08-25 09:45:18
0
To see more videos from user @veriafya, please go to the Tikwm
homepage.