@double.s749:

BUNGE LA WANANCHI
BUNGE LA WANANCHI
Open In TikTok:
Region: KE
Tuesday 25 August 2026 09:07:52 GMT
14334
408
54
22

Music

Download

Comments

kalian360
mawio🌄🌇 :
Baba levo trust me😂😂
2026-08-25 19:28:27
1
sydneylogisticstanzania
sydneylogisticstanzania :
DOTO B next!
2026-08-25 18:36:07
0
jacklineelviselvira
Sanga Jackline :
dada achana na hofu zakooo freeeeedom is coming tomorrow God is always fighting the battle which human being can't do it ........God is in control atafanya njia mahali pasipo njia....Mungu aligawanya Bahar ya Shamu ikawa nchi kavu Wana wa Israel wakaenda zao why not to us??? Mungu hashindwi na jambo let us always pray for our nation and always voice up for the evils without any fear
2026-08-26 20:07:19
0
elipidiussospeter
kahwa123 :
NENO la Mungu linasema Mungu atatupigania nasi tutanyamaza kimyaa acha Mungu atende mawazo yetu sio sawa na mawazo ya Mungu anatuwazia mema
2026-08-25 11:48:30
3
success.eliya
Success Eliya :
Tuzidishe maombi tu Mungu yupo atatupigania hili taifa ni la Mungu atakae liharibu Mungu atamharibu mtu huyo
2026-08-25 11:25:47
5
lazachris8
lazachris :
dada yangu hakuna kiongozi anae jiuzuru alafu apost barua mtandaoni huo ni mchongo wa kumlazimisha ajiuzuru.
2026-08-25 17:56:02
2
angelina.nyole
Angelina Nyole :
kipenzi 😓😓😓mimi nimajozi natama niamkie nchi nyingine samia wanaucha wanin
2026-08-25 12:10:50
2
kidume88
KIDUME88 :
MIPANGO ya MUNGU si ya mwanadamu
2026-08-25 17:55:53
1
gloriousfortunata85
gloriousfortunata :
yaani😭
2026-08-26 10:08:26
0
user2484505638112
the true boy! :
dah☺️☺️☺️
2026-08-26 11:09:16
0
user5325690584624
user5325690584624 :
DAH!
2026-08-26 04:49:40
0
winnely45
👑$@v@g£👑Winn£r💦 :
Mungu aishie yu pamoja nasi binafs inimeshtuka sana lakini Tumuombe yeye
2026-08-25 16:12:56
1
user865711628378
29kabili@2025 :
tunaletewa mtu gani yupi na uyo mtu anahusihana nan watanganyika hapana hata amlete malaika ccm hayupo na kama yupo hakikubaliana na uteuzi uo ni mshiliki wa damu na si kuchaguliwa na watanhanyika.
2026-08-25 11:54:48
2
matalento_
it's_lavety :
inaumiza aise eh mungu tutazame kwa jicho la huruma😪
2026-08-26 00:28:26
0
user7870265676119
selesti :
mungu yupo bize sana
2026-08-25 19:44:07
0
msdj_genz
@msdj_genz :
atajua mwenyewe achague amtakae kama alivyomchagua waziri mkuu watayamaliza wenyewe waliomchukua wakaenda kumuapisha kule kambin kwao jamani sisi hatuna chakufanya miaka 4 sio mingi...
2026-08-25 20:42:53
0
nkangalawamoro
Real dady :
Moyo wangu unaumia sana.
2026-08-25 20:47:44
0
kasii487
kit .b :
hakuna hatari tutapambana na atakae ingia huyo tena ajihudhuru mamae
2026-08-25 14:30:14
1
user30940940596523
Sele :
inauma san dada angu watu wanachukulia poa ila tupo kwenye htr san
2026-08-25 13:30:13
1
enock.makoga
Enock Makoga :
ni msiba mkubwa sana
2026-08-25 15:14:34
1
user8610328583726
Loveness Loveness :
Namwamini MUNGU yupo atatuokoa tu. hatuna namna
2026-08-25 16:38:58
0
user3836082039903
stephano malimi :
shauli tufanye je.
2026-08-25 18:43:33
0
eeaa33c
amnex🎊♥️ :
Mtanikumbuka Kwa mema si Kwa mabaya
2026-08-25 19:20:47
0
user5499440553281
362079 :
ukweli ndio tanzania
2026-08-25 15:23:19
0
khofu.ally.mlewa
KHOFU ALLY MLEWA :
kwani yeye ndie wakwanzah
2026-08-25 11:26:38
0
To see more videos from user @double.s749, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About