The worst.inakupea dark spots yenye itatake months ndo ipoteee.
2026-08-25 19:33:41
6
yuu 💖💖 :
ht uxipochangany unaglow[Red heart][Red heart]
2026-09-10 20:16:47
1
Mercy😍😍 :
Hii nayo hufai kuchanganya 😅.
it's a bomb and use it at night only
2026-08-27 04:29:41
3
its me :
does it bleach
2026-08-25 15:33:35
3
💥miss💥 gapchoche ❤️💯 :
hayo mafuta sintoyapka Tena
2026-08-26 19:32:40
3
user1325714192222 :
nilitumia nikipata sugu mpaka kuna mtoto wa jirani yangu akaniuliza umepaka nini kwenye vidole ikabidi nimdanganye nimetoka kuweka mkaa jikoni na nikayagawa siludii tena hata mafuta yote yakosekane bora nikapake oil chafu
2026-09-06 09:42:40
1
phina💓 :
ndio natumia na nataka kuacha,, mtu aniambie nitumie gani yenye haileti stretch marks😳
2026-09-02 08:08:09
1
Nyambu nyambu :
hii ni best usipochanganya🥰🥰
2026-08-27 09:11:49
2
MEDZA 2001 :
nipoa hii mafuta niulize niwambie
2026-08-25 12:20:27
4
blessy :
am using it bila kumix na oil, ad am.in love with it. nzuri saa
2026-09-09 07:56:24
2
disera :
Toka mwaka2021 natumi ila ukichanganya ndo mbaya unababuka hatalii,inafaa kutumia yenyewe tuu
2026-08-27 09:41:13
3
Najma Yusuph :
nimeungua nikipaka hiyo vp nitakaa saw au
2026-08-26 19:40:07
1
kiki ♥️ :
honestly hii mafuta iliniharibu uso sana🚮
2026-08-29 13:56:27
0
Annujacky🌸 :
jaman🤣🤣
2026-09-08 19:04:30
1
Faith :
the best of the best
2026-08-25 19:27:52
2
Bettyadhiambo✨ :
my favourite
2026-08-25 21:47:22
1
maggie :
najipaka tuu ii pekee iko sawa
2026-09-07 22:06:36
2
faith langat cheps256 :
the best natumia
2026-08-27 19:36:50
1
niffer gaspa :
me Nina allergy nayo
2026-09-07 20:14:41
1
bint Ismail :
mweee uongo
2026-09-03 18:23:22
1
Vaal :
ilinipea stretch marks aki nakaa mwendawazimu
2026-09-07 14:04:23
1
shani de cute💯💯💗💗 :
ukipaka bira kuchanganya n nzur san 🥰
2026-09-08 07:20:36
1
cashie j :
hii kitu msijaribu ilinifanya maneno
2026-08-27 14:24:59
0
To see more videos from user @trueglowbeautystore, please go to the Tikwm
homepage.