@oldmusic844: Kama unabisha Bisha Kwa hoja -Bablee kizizi @Tbt🇹🇿✅

OLD MUSIC 🎶🎶
OLD MUSIC 🎶🎶
Open In TikTok:
Region: KE
Tuesday 25 August 2026 09:42:39 GMT
33130
2213
139
119

Music

Download

Comments

d____proffessional
adam kiziwanda :
ata bluu kaiga apo bishoo xo pow
2026-08-27 11:27:33
10
chidady_don
Explorer :
nakumbuka wakati huu mapenzi yalikua tamu na ukiumizwa utadhani unakufa kesho yake
2026-08-25 17:56:41
20
jcool_boy
JemshiD :
Wahenga kujeni hapa tukumbukane BaBleeee
2026-08-25 21:52:11
22
gizelly925
gizelly :
wazee wenzangu mko wap tuliofikisha 37 38 39
2026-09-04 18:17:40
2
hajji.bintum
hajji bintum :
hivi huyu ndo nani?
2026-08-27 03:43:10
3
said000nnn
Said :
🙌🙌..jamaaa bitoz mbaya... apa byser alikua na challenge
2026-08-26 11:28:50
7
maluda_zuu
AL-JABRY :
sooplee kaka nae alikua Habari,HAKLM5,DOGO AMIDU,NYANDU TOZY
2026-08-25 15:06:40
5
user2973050573592
mwananje mwamuye :
mbona simuoni Kwa miaka 30 bongo fleva
2026-08-25 15:38:53
9
hawa.hawaalimusa
Hawa Hawaalimusa :
jaman yukowapi uyu babee alikuwa anajuwa sn
2026-08-26 14:05:12
3
chriss.tinnah
Chriss - Tinnah :
Afu huwezi amini hizo nguo zote walikuwa wanaazima dukani na kurudisha, ndo maana nyingi zina label 🏷️, na oversize
2026-09-02 08:13:09
0
mahuba_360
MAHUBA_TZ🇹🇿🇹🇿 :
swagger za king kibaa kabisaaa naskia alikuwa mwane KIBA kinomaa
2026-08-25 18:58:01
1
zayabbassi
Zayrat abaya😍 :
Mamba 24
2026-08-25 15:33:59
1
joh92981
Joh929 :
big up sana umenikumbusha mbali sana na bablee 👍wagwan
2026-08-25 16:32:26
1
adilimwashee
Habib ibn adil :
kizizi,,,ngoma kubwa hii
2026-09-03 17:14:23
2
flovian_cosmetics
DOCTOR FLOVIAN :
kweli kabisa ujakosea
2026-08-25 11:42:28
2
kalama.steve
Kalama Steve :
nyimbo ndio hizi saii kelele
2026-08-27 08:47:54
1
charles4848
kad go :
lile goma lake chagua mmoja hatari sanaa
2026-08-26 21:57:01
2
mayungatzcollection1
MayungaTZ CollectioN ✡️ :
Full unyamwez yan noma sana aseeee
2026-08-26 05:41:16
2
jvckieseven
JvckieSeven :
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🙌kizizi
2026-08-25 21:31:59
2
tommyclassic4
tommyclassic4 :
musisahau pia kenya tulkua na flim c daaaah hivi vijamaa vilkua vinajiskia sana i say mr blue bablee flime c daaa noma
2026-09-01 20:16:29
2
mbuyu.july.29
𝕄𝕓𝕦𝕪𝕦 𝕁𝕦𝕝𝕪 𝟚𝟡 :
Ila zaman producers walikuwa wa Moto Sana aisee....em sikiliza ala zilivyotumika kwenye hii ngoma
2026-08-26 19:37:22
3
sebby_abas0nga
Sebby_abas0nga :
Sema kulikua na wasanii wengi km sshv 😂
2026-09-04 02:03:26
1
real_poul91
@255_SHADES🤓😎 :
Kizazi cha kina mr blu
2026-08-25 19:00:56
2
hobein5
Sharif :
huyu jamaa Ako wapi ??
2026-08-25 11:39:46
2
To see more videos from user @oldmusic844, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About