hahaha ila kwenye huu uongozi wa urojo mpka uishe tutaona mengi🤣🤣🤣🤣
2026-08-25 17:01:39
603
misro :
we love you so much mama
2026-08-26 12:14:54
1
rebby :
who are yo
2026-08-26 18:12:03
1
Juvenary Perfect Cut :
nchi inaendeshwa kiswahiliswahili tu
2026-08-26 08:01:16
116
Kennedy Sitati Tembula :
UN touch able!
2026-08-26 18:28:54
1
Faith :
untachable
2026-08-26 18:14:21
1
chimoo :
kwa mipasho hyo hta mm nigejiuziru
2026-08-25 12:50:52
194
nash joh💰 :
nataman kufanya challenge
2026-08-26 05:48:20
11
Salome Konas :
Tutafika tu,Mungu ww wajua
2026-08-25 17:04:21
35
Rojing'o2026 :
untachable 🤣🤣🤣🤣
2026-08-25 21:13:56
2
holy spirit🙏 :
eeee mung mbaliki kila atakaye andika asante mung kwa kunifikisha hapa🙏🙏🙏🙏
2026-08-25 20:19:43
103
Babe girl :
😳😳😳😳😭😭😭😭😥😥😥😥🥺🥺🥺🥺mungu ibariki Tanzania 🇹🇿 yangu hakuna raisi hapo sijaamini jamani😫😫😫😫
2026-08-25 14:53:11
113
OMGY ELECTRICAL :
wanao shindana na mama kazi wanayo waache kumsumbua mama etu
2026-08-25 12:55:05
236
MSOMAL :
mama kazi iyendelee allah atakujaliya kher inshaa allah tunakukubali mama yetu kipenz nani kama mama
2026-08-25 19:20:50
8
kivuluge :
Tunao Taman kusema kitu ila tunaokopa tujuane
2026-08-26 15:23:30
24
Mr h :
bwana yesu asifiwe 2kutane kwenye comment
2026-08-26 07:45:56
20
Tatu Mwita :
na ukimwambia arudie kusem alicho kisema hajui kasem nini yani
2026-08-25 17:31:40
50
CALVECE YEHONISI :
ila huyu mama anapitia wakati mgumu jmn huyu rais mtamkumbuka
2026-08-25 18:15:48
56
Charles Lunyungu :
😭😭😭 Kuna namna flani uongozi wetu hauko sawa,yajayo yanafrahisha,
2026-08-25 11:01:45
59
side boy :
anajisema mwenyewe apo ndo shida ilipo😂😂😂
2026-08-25 19:35:17
12
Ree 🤪🤪 :
Mama utuongozee kwa miaka mingine tena please Tunakupenda wa Tanzanian Umeongoza vizuri Nchii Tena kwa Amaniii
2026-08-26 07:21:17
28
young jk :
mchezo tumesha ujua Yani hapo wamefanya mbinu mchimbi haonekane mwema kwa WA Tanzania Ili mchimbi agombee uraisi 2030 Hawa hawana ogomvi ni njama tuu🥺🥺
2026-08-26 19:27:53
10
galaxy :
yani kama ni samia anajielewa akae na afikilie toka ameingia madarakan kwanini viongoz wa maana wanajiuzuru?
2026-08-25 17:12:39
45
mpitaji :
Yanga haijasajili wachezaji msimu huu kwaiyo simba bingwa😂😅😅😅😅
2026-08-25 16:28:42
13
الحبسي :
mama samia mwenyezi mungu akulinde na mahasidi tunakuombea dua sana mama 💖 💕 ❤️
2026-08-26 05:56:27
5
To see more videos from user @calistisimba, please go to the Tikwm
homepage.