hee mashaallah jamani nakumbuka sana siku niliemuota nabii Muhammad (s.aw) nilifurahi sana natamani ilee ndoto inirudie niote kila siku hakika nabii Muhammad ni mwenye uso wa kupendeza na kutabasamu tumswalie mtume Muhammad allahumma swalii alei wasalaam
2026-08-25 15:34:16
12
samata :
Mashallha ushafaulu kupitia hii qasda fadhila zake Inshallha utafika natumaini watakuchukuwa,wengi watajitolea ujumbe umepokelewa.
2026-08-25 12:08:56
11
Adam Mkalimbe :
uyu jamaa kaimba hii kaswida
2026-08-25 11:49:37
4
CHEUPE :
Shekh Ramadhan Koba
ostadh wangu kutoka chuo cha Marehem baba yake Sirajal Muunir
anaimba balaa