@millardayo_: Makamu wa Rais wa Tanzania, Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi leo tarehe 25 Agosti 2026, amemuandikia barua Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan kumjulisha kuwa ameamua kustaafu Siasa na Utumishi wa Umma hivyo atajiuzulu nafasi ya Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kuzingatia Ibara ya 50(2)(c) ikisomwa kwa pamoja na Ibara ya 149(2) ya Katiba kuanzia tarehe 04 Septemba 2026. Kwenye barua yake Nchimbi ameeleza yafuatayo “Tarehe 27 Agosti 2025 nilimuahidi Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kuwa nitamsaidia yeye na Nchi yetu kwa uwezo wangu wote na kwa uaminifu, pia nilimuhakikishia kuwa siku yoyote akiona anahitaji Makamu mwingine wa Rais nitaachia nafasi hii” “Nimejiridhisha pasipo shaka kuwa Mhe. Rais anatamani mabadiliko, hivyo nimeamua kutimiza ahadi yangu, kipekee namshukuru Mhe. Rais na Chama cha Mapinduzi (CCM) kwa imani yao kwangu, natumia nafasi hii pia kuwashukuru Watanzania wote kwa ushirikiano mkubwa mlionipa wakati wote niliokuwa katika utumishi wa umma, nawahakikishia kuwa nitaendelea kuwa Raia mwema wa Tanzania” #AyoTV na #millardayo zimethibitishiwa na Ofisi ya Makamu wa Rais kuwa taarifa hiyo ni kweli na kwamba taarifa rasmi kuhusu uamuzi huu wa Dr. Nchimbi itatolewa hivi punde. #MillardAyoBREAKING

millardayo
millardayo
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 25 August 2026 09:53:02 GMT
117627
5924
276
341

Music

Download

Comments

mogbea
Mogbea :
.....hahahahahah.... mtego huu ili aje awe presidaa election ijayo BIG NOOOOO
2026-08-25 11:34:12
0
masai.24
Masai 🇰🇪 :
Sasa si angetulia apate urais kama mwenzake alivyopata urahis katika njia Rahisi 🥺🥺
2026-08-25 10:26:32
138
naji01664
naji :
tumebaki raia na sisi tujiuzuru kuwa watanzania
2026-08-25 09:56:50
256
ester21030
Ester🇹🇿 :
nilikuwa nasubiri upost wewe ndo niamini kama hii taarifa ni ya kwel
2026-08-25 10:47:21
90
ms.anasthetist
Miriam Masatu🇹🇿 :
hongera kwake,ana maono
2026-08-25 12:02:48
0
zamsdbcandy
Lilzams📉 :
Very dramatic
2026-08-25 11:31:10
1
sunset.cereals
Sunset :
That’s why I like ayotv coz the news are full
2026-08-25 10:40:51
0
sultanali8523
Sultan Ali :
asnte yuda kwakutuwachia chama chetu😅😅😅
2026-08-25 11:21:35
15
zuuh_chocolate
zuuh_chocolate :
najua haiwahusu ila leo nimeachwa😭😭😭
2026-08-25 10:47:31
33
robynnko11
@robynnko11 :
ukiona hv jua anayo nia njema na watanzania
2026-08-25 10:41:24
54
sejeninyo
Jennifer :
asipo tekwa cjui
2026-08-25 10:38:02
28
agrowear
AgroWear Enterprises :
pray for our nation and leaders 🙏
2026-08-25 10:02:06
0
really.lennah
really lennah :
Me naombeni nieleweshwe kwani kwa katiba ya Tz makamu Akijiuzulu uchaguzi si unaludiwa au
2026-08-25 11:11:26
8
mjuni.johansen
𝐌𝐊𝐀𝐑𝐈 𝐓𝐙💯 :
michezo iyo tunaijua
2026-08-25 10:31:11
5
willsonolotu
uncle willz :
nataka na mama samia ajihuzuru achiee madarakaaa jamn😭😭😭
2026-08-25 10:00:59
10
florah.vitalius
Miss mgopa 🦋♥️🧚‍♀️ :
Kumbe kuna makamu eeeh me nishasahau nilikuwa sijui kabsa 😂😂😂😂
2026-08-25 11:13:51
6
leyanimepukori
mepukori jr :
Guess what
2026-08-25 10:42:56
0
wisperfect7
wisperfect :
kazi ishakuwa ngumu kila mmoja anakwepa lawama
2026-08-25 10:49:20
56
john.samson977
John Samson :
Kama unamkubali jamaa weka like❤️❤️
2026-08-25 10:19:44
6
r.b.ole.komoi
R B ole komoi :
usishangae naye akapotea kama balozi polepole 😂 maana hii nchi siamini 🤔
2026-08-25 10:11:04
5
mvaxdebellot6
Mvax7175 De Belloh🇧🇷 :
wameanza kukataanaa
2026-08-25 11:32:37
2
mozah.unique
🦋🌸♧mrs~ibraah♧🌸🦋 :
NYIEE JAMANII 😅😅🙌
2026-08-25 11:32:50
1
To see more videos from user @millardayo_, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About