@wavuka.tz: Well, Njoo wavuka uanze upembuzi wa magari na bei zake. Wavuka ni soko la magari mtandaoni, tunakurahisishia ww mnunuzi kuchagua options za magari kutoka kwa wauzaji wote mabingwa Nchini Tanzania na wamiliki binafsi. Tembelea wavuka.com tengeneza account yako uanze kuperuzi magari sasa. Ukipata gari unataka, piga simu!!! #anziaWavuka #wavuka #used_cars