@tanganyika_first:

Tanganyika
Tanganyika
Open In TikTok:
Region: NL
Tuesday 25 August 2026 10:00:30 GMT
22573
815
42
62

Music

Download

Comments

fransisconkuyumba
fransisconkuyumba :
Watanzania Pambaneni mpate KATIBA mpya
2026-08-26 01:44:29
6
mr.brm998
Mr BRM🇹🇿 :
yaan changamoto ya vijana wa TZ ni Moja tu yaan kujitambua kujiamini na kujielewa na kujua haki ya kijana ni Nini Alf unakuta polise na wanajeshi wanatuona sisis ni maadui kumbe sisi tunapigania pia maisha yao ya watoto wao na vizazi vyao
2026-08-26 08:24:02
6
brightonmachange9
Machange :
wanaharakati wote Mungu awalinde, Sana
2026-08-25 20:11:41
2
zanzibar871
ZANZIBAR😎 :
hakuna jeshi LA tanganyika
2026-08-26 09:13:38
1
petromtunda
petromtunda@7 :
kweli kabisa,,,tunataka katiba mpya ,,,kama mnatuzarau sisi mwogopen hata MUNGU mwenye haki
2026-08-26 11:59:28
2
user3747612970703
user3747612970703 :
kweli wao wanatuuwa
2026-08-25 19:49:27
1
user76194236999053
user76194236999053 :
Hogereni sana kwa kazi mnayofanya kwa kizazi kijacho
2026-08-26 07:59:43
1
upendo.brillianty
Upendo Brillianty :
very gud tuipambanie inchyetu
2026-08-25 18:12:08
0
mmm.ukweli.daima
mmm ukweli daima :
watanzania wote bila kujali itikadi zao na ukabila, dhehebu wanatakiwa kuungana na kudai katiba na kuiokoa taifa tunakokwenda ni mbaya.
2026-08-28 10:32:12
1
mamawakambo25
Charmy :
Tanzania imejaa manafiki hadi nchi iuzwe
2026-08-27 22:36:36
0
firdaussaid07
shayan43og :
kweli kaka
2026-08-30 08:00:14
0
devothaignatus
devothaignatus :
Jmn mmemsahau Kinepa Au Kinewise Njiwa na Mwewe
2026-08-31 18:25:11
0
user5831668785404
Nay gacean w mara.com :
kweli kaka nchi hii mimi nashindwa kabisaa hatuna chochote hapa
2026-09-22 16:04:10
0
joycemwalalika
joycemwalalika :
mungu awape afya tele kwakujitolea kuwatetea watanganyika kazi zenu ninjema
2026-08-28 05:27:05
0
erasmimacha
erasmomacha :
tuelekezane asee ili tuongee lugha moja
2026-09-03 11:45:03
0
user780337126
[email protected] :
Mimi nahisi tungedili na jeshi la siri linakazi Gani kama kila Leo nimatukio ya kupotea tu watu
2026-09-12 09:57:16
0
user5012237633160
fulgence zenobi :
kwelikweli kaka ukosawa
2026-09-11 18:32:08
0
user1740427811355
YAHAYA SHABANI :
Habil na Kabil yupo wapi tumsikie kwanza
2026-08-29 08:25:02
0
user6916735912639
kuyamba Tv 📺 :
kweliii
2026-08-26 12:53:14
0
mkombozi.kibwita
MKOMBOZI KIBWITA :
TUELEWE WARIO SEREKALINI AMBAO NI WAAJILIWS HAWAKO UPANDE WA WANANCHI KWANI WSKATI WA UCHAGUZI WANAHUSIKA KUWAWEKA CCM MADARAKANI KIMICHONGO
2026-08-26 13:11:00
0
meshackkivuyo4
Single army 🪖 :
hata sielew tutafikia wap kwa haya yanayoendelea 😥😥
2026-08-26 20:51:07
0
barakadeogratius2
CAPTAIN OBURE MUTURE KAJAJA :
kaka naomba uniadd Kwa group lako
2026-08-28 19:20:36
0
ellyumeme
ENGNEER ELLY UMEME@ :
live iko sngp
2026-08-27 11:43:57
0
lekarau4
Lekarau :
ok 💪🫶💯
2026-08-26 19:09:31
0
user5859922736281
123390 :
nikweli kaka
2026-08-25 18:59:29
0
To see more videos from user @tanganyika_first, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About