@rizzboy2235: maajabu yatokea bundi kunasa kwenye gali #

🌹 Rizz 🌹 dady 🌹
🌹 Rizz 🌹 dady 🌹
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 25 August 2026 10:19:42 GMT
230658
12531
569
1210

Music

Download

Comments

sulaymanmashak
SM :
dereva ni marehemu mtarajiwa
2026-08-25 18:20:43
268
official._eze
official._eze :
dada zangu mmesoma hiyo plet namba vizuri😁?
2026-08-25 22:49:14
62
trueexplorer2023
trueexplorer2023 :
Bundi ni bundi tu kama ndege wengine. Binafsi ni moja wa ndege ninaowapenda sana ukiacha njiwa
2026-08-25 21:05:42
81
this_is_insaine_fr_broo
kid☆ :
Nakumbuka mwaka 2006 niliitwa na bibi yangu kijijini PEMBA aliniambia mambo mengi sana ila maneno ninayoyakumbuka hadi leo aliniambia "mjukuu wangu ipo siku moja watu wengi watapoteza mda wao kusoma comment yako"
2026-08-25 21:59:14
71
allykhamis516
SUNLLY123 :
bundi mchana haoni
2026-08-25 18:21:33
63
mizzoboytz
Mizzo Boy TZ :
Asili ya BUNDI ni ubya Ila BUNDI pia Inaweza kuwa isha ya kinga kwako kwamba ndege akipta mbele ya Gali yako ukiwa unaendasha ni kwamba Ana kupa ishara uko mbele sio salama.
2026-08-25 17:56:05
37
bagabriellamlt
👑 KiBELLa oG :
ila Bundi mrembo jamani
2026-08-25 19:36:01
52
darvoh_tz
Darv♥️h_Tz. :
NAOMBA FUTENI HII CLIP HARAKA,MAISHA YANGU NI SIRI YANGU 😂
2026-08-25 18:15:10
38
nirah5825
nirah💝 :
karembo kenyewe
2026-08-25 18:04:25
23
hunter_.21.offici
🪖CHAS£R💭🦅 :
Ebu mpeni simu niongee nae 😁
2026-08-25 21:16:31
17
sir_venance914
itsVenah 🦁 :
umo ndani kuna maiti may be kwanini mwenye gari atoki nje
2026-08-25 18:04:11
32
chaupole928
chitoto 🇴🇲 :
Hii sio hali ya kawaida😭ameleta ishara bundi haonekanagi ovyo hivi
2026-08-26 02:30:46
9
msojemsi
Jerry sk77 :
minampenda
2026-09-03 20:24:28
2
singwa17
ABBASINGWA :
Gali kwa kiswahili ni nini?
2026-08-25 20:10:54
7
m.cutte
M cutte💝 :
kwa rais kigogo fresh au
2026-08-25 22:08:45
2
quanboe1
One Life One Love💔🥂 :
Mi nlikosea mashart kwa nyoka wangu kaning’ata
2026-08-25 21:56:46
3
he_no_cent
he_no_cent :
kuna maiti humo ndani
2026-08-25 18:17:47
11
liloosh80hotmail.c0
Liloosh🌸🌷🌺♥️💦 :
kwani mwenye gari anasemaje😂😂😂
2026-08-25 18:23:15
5
vinyani_
VINYANI🐒🙊 :
Gari la crian sports😂😂
2026-08-26 09:16:15
5
s.m.i.l.e_joh
S.M.I.L.E :
io leo iooo😂😂
2026-08-25 19:01:25
3
tivachriss
Tivachriss :
mna mshanga na yy Ana washangaa
2026-08-26 14:45:33
2
neylin687
neylin☘️ :
Hawa wamepangana ili tu wanimalizie bando langu😌😌
2026-08-26 20:12:32
3
kaoneka23
It’s kaoneka jr🇹🇿🇲🇿 :
Huyo mwenye gari mganga wake mkali sana
2026-08-26 15:24:33
2
hendricksamson0
Hendrick Lyomoka :
Ndoo maishaya mkataba
2026-08-26 06:54:24
1
majogoro849
"ƁŘĶ"🪾🍃"" :
wabongo kwa ushahidi tutakufa sanaaa😁😁
2026-08-25 18:47:26
3
To see more videos from user @rizzboy2235, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About