@mwenye.nchi: Mwamba kachafua

MWENYENCHI 🇹🇿🇹🇿
MWENYENCHI 🇹🇿🇹🇿
Open In TikTok:
Region: ZA
Tuesday 25 August 2026 10:32:29 GMT
436088
29274
634
367

Music

Download

Comments

user3735072975043
user3735072975043 :
Mzee wetyu wa busara umetumia busara zako Kwa kupisha msongamano hongera Kwa maamuzi👋 ..
2026-08-25 12:43:35
400
tasneem.beatha
tasneem beatha :
huyu nipadri pia anahofu ya mungu sasa acha Hali ichafuke
2026-08-25 13:27:49
190
stamphord2
Justin stamphord :
kuna mda inabdi ufanye maamuz magumu kwa ajili ya kizuri cha mbelen
2026-08-25 13:21:31
59
edgarwitson4
EW4 :
baba shikamoo sijui umewaza nini moyoni mwako ila binafsi nakushukulu
2026-08-25 12:40:25
147
johniphre
Baba Francis 30 :
utukufu wa mungu ukulinde
2026-08-25 12:16:07
88
tatikulwa.sengele
T k Sengelema :
jamani kama mnakumbuka Magufuli alisema mtanikumbuka sasa tunajionea zote mambo yanao tokea naisi tumeshaanza kumkumbuka tena
2026-08-25 16:00:56
81
user8601779253082
queenmamu :
muyaonapo haya changamkeni yesu yuaja upesi
2026-08-25 14:58:42
74
wizzy3fx
No Name- :
umedhihirisha ukweli hupendi uonevu unataka haki ww ndio rais wetu nakuombea kwa mungu akulinde kamanda
2026-08-25 15:34:19
41
user7655703352928
sayun Edward :
hii ndo Tanzania yetu
2026-08-25 12:37:24
31
joan.tingatinga
Joan TingaTinga :
mtu mwenye hofu ya Mungu
2026-08-25 16:55:27
10
kennethkikuri
kenneth kikuri :
Hongera sana kiongozi kwa maamuzi yako ya buaara binafsi nakupongeza sana.
2026-08-25 17:00:25
26
joyceedward58
joyceedward17 :
ongera baba aongoze na timu aman yake
2026-08-25 13:08:14
10
devotaline.mayoko
Devotaline Mayokolo :
mungu akulinde na akutunzie heshima yako anko
2026-08-25 12:29:31
20
adroph916
adroph S ngozi :
kiongoz bola niuyu Sasa ameona anapoteza muda kukaa kwenye selikal ya mafisadi 👏
2026-08-25 19:58:21
18
userabdul.mashine
userAbdul mashine :
Usnich sio mzr tusipende kutobooa mtubwa hakuna atakaebak salama
2026-08-26 07:19:15
5
rosesebastian315
rosesebastian315 :
Mungu amulinde kiroho na kimwili
2026-08-25 16:38:31
8
yup.boy2
Lucas mlala@tz💙💙 :
maamzi magumu kwerikwer ira 👏👏👍 ume onyesha kuwa we ni baba huongozw kwatamaa hongera 👏👏👏👏👏👏👏
2026-08-25 18:00:40
7
.njelekela6
GATTUSO 🇮🇹 :
SAHIH MZEE MAAN UNAJUA JEMA NA BAYA ND MAAN UKAAMUA KUJIHUZUR MUNG AKUPE MAISH MAREF
2026-08-25 14:33:58
7
biabumohamed
mama afay :
kafanyaje??
2026-08-25 12:43:47
31
.njelekela6
GATTUSO 🇮🇹 :
HYO NDIO FAIDA YA KUSOM ZENYE MAADIL NA HOFU YA MUNGU JARI UTU PESA SI KITYUU
2026-08-26 08:05:33
11
elieka2025
Elieka :
pole sana baba mungu mwenye enzi na mamlaka zote akulinde yeye mwenyewe
2026-08-25 12:37:32
17
king.nico30
Mchungaji wenu :
damu za watoto waiouwawa zinawalilia sana ila mungu yupo na atatenda tu
2026-08-25 12:41:45
25
user6296616714976
sara🥰 :
baba etu pole kwa ulicho kiona madarakani kwahatua ulio chukua mungu akubariki sasa tuone
2026-08-25 19:52:55
6
user22448308713325
mom :
😂😂😂😂nashulu mungu ameniongoza sijakoment kitu yoyote
2026-08-25 13:19:33
8
maryhance17
Mary Hance17 :
kaona mambo yasiwe mengi aondoke salama🙏🙏
2026-08-25 13:04:09
12
To see more videos from user @mwenye.nchi, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About