@taimediatz: #HABARI Moja Kati ya kauli ambazo zitabaki akilini mwa Watanzania, zilizowahi kutolewa na Makamu wa Rais, Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, kabla hajaandika barua ya kujiuzulu ni pamoja na kauli yake ya kuwataka Watanzania kupigania kupata Katiba mpya. ✍🏿@mariamshabanitz #taimediatz #taimediatv
taimediatz
Region: TZ
Tuesday 25 August 2026 10:43:56 GMT
Music
Download
Comments
kidoatz🌸🦋✨ :
Kuna kitu hakipo sawa wallah🥺💔🙆♀️
2026-08-25 13:02:31
197
khalif idd :
hapa ndio naamini sasa kweli yanga bingwa
2026-08-25 11:58:37
104
giana 🎀🎀 :
si bora tuongozwe na jeshi
2026-08-25 13:30:59
43
@Chazy✨Lyimo. :
Natafuta mdada mwenye mimba twende clinic ili nipate net, mbu wataniua jamani 🥺😂
2026-08-25 13:11:55
48
upcoming_public_figure🌹 :
something Is Fishy here. Let's Pray For Tanzania🇹🇿
2026-08-25 15:19:59
3
nolliny :
daah ningekuwa mim ningesema ticktok tuwe tuaingia bila bando coz inasaidia sana watu kutoa stress😅
2026-08-25 12:21:14
227
Bby T ❤️🥂 :
Kama napewa Nafasi ya mwisho ya kuwaambia wa Tanzania nitasema Tujiuzulu kuwa wa Tanzania
2026-08-25 12:04:43
71
boil :
main land
2026-08-25 14:49:17
0
kunguru :
oz. umetisha
2026-08-25 13:43:56
1
Moonlight :
our feature president
2026-08-25 14:31:49
0
Ngogo Daughter🥰 :
Mmmmmh
2026-08-25 13:46:54
0
s²mob ❣️ :
sema tupambane si pambaneni🤣🤣🤣🤣
2026-08-25 12:01:52
4
Diana Mgallah :
Kama vile kuna kitu au???🤔🤔🤔
2026-08-25 12:42:07
11
Martin Gwaha :
Jmn katiba hii mpy imemaliza viongozi kama kass majaliwa , idris mpango hadi nchimbi dah mola atupe mwisho mwema☺️☺️☺️
2026-08-25 12:34:45
19
mimylee_2 :
cku zote mbona hujasema
2026-08-25 11:22:16
9
mansiz :
hii ndio kauli iliyomtoa kwenye ulingo wa siasa
2026-08-25 12:40:24
7
Richard daughter :
uku me sitak bhana kwan A list kajala imekuaje
2026-08-25 11:37:33
5
sarah kidd⚘️🕊 :
Tunatumia katiba ya 1977 hadi leo duuh🤔 na ndio mana mm nipo busy tuu na tiktok hayo mengine mtajua wenyewe bhana kikubwa nakula nashiba 😂
2026-08-25 12:50:58
17
mikitalent@org :
uko tushapit mbon mm nin katiba yangu uku
2026-08-25 14:27:35
1
Joan :
Katiba ya mwaka 1977 tubadilishe leo nyie mmatafuta ugomvi anyway kazi iendelee
2026-08-25 13:33:49
0
..ღ 🦋𝓒𝓱𝓮𝓻𝓻𝔂 𝓑𝓪𝓫𝓮❥☘ :
20/20 mpo
2026-08-25 13:26:42
0
Arusha view🍷 :
au tupange tarehe nini
2026-08-25 14:23:18
0
Elizabeth paul :
yanga bingwa😁
2026-08-25 12:55:10
2
To see more videos from user @taimediatz, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.