@drjimmytz: Jinsi Asidi Haba Tumboni Inavyoharibu Mmeng'enyo wa Chakula Na Jinsi ya Kuitibu Watu wengi wanafikiri kuwa kiungulia au gesi vinatokana na kuwa na asidi nyingi tumboni, lakini ukweli ni kwamba mara nyingi tatizo ni kupungua kwa asidi ya tumbo (Low Stomach Acid). Asidi ikiwa kidogo, mfumo mzima wa mmeng'enyo unavurugika. Dalili za Asidi Haba Tumboni: Tumbo kujaa gesi au kuvimba baada ya kula, Kiungulia au chakula kurudi kooni.,Kucheua mara kwa mara na gesi kutoka chini. Dalili nyingine ni Kuona vipande vya chakula visivyosagwa kwenye kinyesi,mwili kushindwa kuyeyusha protini (nyama) vizuri na ulimi kuwa na utando mweupe. Hii yote ni kutokana na kukosa virutubisho mwilini kama vile Chuma (Iron), B12, Calcium na Magnesium. Mbinu za Kusaidia Tumbo Kutengeneza Asidi: Tulia kabla ya kula: Mmeng'enyo unahitaji mwili uwe na utulivu, si msongo wa mawazo. Tafuna chakula vizuri: Kamwe usimeze haraka; tafuna angalau mara 25 kwa kila tonge. Acha kunywa maji mengi wakati wa kula: Maji mengi hupunguza ukali wa asidi ya tumbo. Kula vitu vyenye uchungu kiasi: Limao au mboga zenye uchungu kabla ya mlo huchochea asidi. Je, Umechoka Kuishi Na Maumivu na Kero za Tumbo Kila Siku? Najua jinsi inavyotesa kutokufurahia mlo wako, kuishi kwa hofu ya tumbo kujaa gesi, kiungulia kinachochoma koo, au maumivu yanayokunyima amani ya nafsi. Huenda umetumia dawa nyingi bila kupata suluhu ya kudumu kwa sababu hukutibu chanzo halisi cha tatizo. Afya yako na amani yako ya akili ni vitu vya thamani mno. Huwezi kuendelea kuvumilia maumivu haya peke yako. Okoa afya yako na urejeshe furaha ya kula leo! Piga au tuma ujumbe mfupi WhatsApp kwenda namba ushauri wa kirafiki na suluhu ya kudumu ya mfumo wako wa mmeng'enyo wa chakula. Tuko hapa kukusaidia urejee kwenye ubora wako.
Dr.Jimmy|Afya ya Tumbo
Region: TZ
Tuesday 25 August 2026 11:00:08 GMT
Music
Download
Comments
Hajrat Umande :
Asante
2026-08-25 17:05:23
1
To see more videos from user @drjimmytz, please go to the Tikwm
homepage.