@alamnutv: Katika mojawapo ya mihadhara na harakati zake za kusimamisha ukweli na kuelimisha jamii, mwanachuoni na da’ii mashuhuri Abul Aitām Sheikh Hassan Nyamweru alitoa ufafanuzi mkali na wa kina kuhusu upotoshaji unaofanywa na baadhi ya watu wanaomwita Mama wa Waumini, Bibi Khadija bint Khuwaylid (Radhi za Allah ziwe juu yake), kwa jina la kudhalilisha au lisilo stahiki la "Mshangazi". Hapa chini ni muhtasari wa hoja na msimamo wa Sheikh Hassan Nyamweru katika kukemea tabia hii na kubainisha ukweli wa historia ya Kiislamu.

Al Amnu Tv
Al Amnu Tv
Open In TikTok:
Region: BI
Tuesday 25 August 2026 11:01:55 GMT
25682
2628
128
235

Music

Download

Comments

ndayishimiye.omar88
Ndayishimiye Omar :
apo ndo mnakosea masheikh wa burundi kuliko kumfata sheikh zuber umlinganie kama alikoseya mnakosoana kweny mitandao
2026-08-25 12:20:11
14
shaabanibahri4
user5394454836581 :
qauli yenye nguvu ni 40
2026-08-25 11:14:45
2
fn881484gmail.com
💎ummuh Rahma💎 :
neno mshangaz mbn kawaida tu ata mim nimshangazi🤣🤣🤣
2026-08-25 21:49:56
3
josiane.mavukiro
Josiane Mavukiro :
apo ndiyo munapo koseya ma Sheikh wetu wa BURUNDI vyema mufate Sheikh zuberi umulinganiye apa inaokena ni upinzani Ila samahani Shekh wangu
2026-08-25 16:51:22
2
amissyoussuf173083018735
amiss youssuf :
mwanamk wa myaka 40 sio mkubwa sheikh 50 nakubal apn 40
2026-08-25 13:09:26
4
khadidjaomari673
khadidja omari :
sheikh zuberi ameitumia vibaya iyo kauli ya kuowa mwanamke mwenye mali ama aliekuzidi umri kwa kusema mshangazi tena anashabikia
2026-08-26 04:46:55
1
zendentik9
kingkong :
Asante sana Sheikh kwa kunyoosha kauli
2026-08-25 12:59:36
3
natural_stone_deco
Natural_stone_decoration_tz :
kamuoa au kuolewa ?
2026-09-04 17:12:22
0
mr_bright_47
Mr.Bright :
Kwani Mshangazi ni Tusi? Nina uhakika shekhe haelewi maana ya Mshangazi (sio tusi) Mshangazi ni Mwanamke mwenye mapenzi na mwanaume aliempita mri (Khadija 28, Mtume 25 - Hapa khadija ni mshangazi kwa mtume, sio tusi)
2026-10-01 19:53:38
0
zamunda098
Fourmi jaune :
Sheikh Zuberi anapenda masifa sana
2026-08-25 20:36:57
5
dr.nadiim
Dr nadiim, :
acheni kutuchanganya bana tulisoma anamiaka 40 full stop
2026-09-29 16:19:40
1
bilalmangapi
bilal :
HATA IWE MWAKA 40 HAKUNA SHIDA . mtume alikuwa ana fanya kwaku fwata wahyii
2026-09-20 12:10:45
0
alban.127
Ayubu Mwakipesile :
Ujumbe utamfikia Inshaa Allah
2026-08-25 12:09:50
2
01abu.sufyan
Humeid 👑 Igwe :
huyu sheikh simjui Jina Ila nampenda sana kwajili YA Allah
2026-08-27 01:56:59
2
maqavel__
Maqavel  :
Bi khadija alikua Na miaka28 alipoolewa Na mtume na akapata nae watoto sita,kisayansi miaka 40 Na watoto sita haina mantiki ila kauli inayojulikana Ni bi khadija alikua Na miaka 40 .ila si kweli
2026-09-09 09:05:10
2
rahmaally803
Rahma Ally :
🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰 mashaaallah sheikh wang nakukubali sana sheikh wakuongeya ukweli
2026-08-29 08:32:50
2
ibrahimpole2
ibrahimpole2 :
sasa ushangazi unaanzia myaka mingapi?
2026-08-25 15:04:10
0
shaabanibahri4
user5394454836581 :
Anazaa sheikh hata mkee wanabii iberahima Alizaa nanimzee sio hoja kuzaa mtu nimkubwa على الله يسير
2026-08-25 11:19:07
4
simimi473
simimi :
kwahali yoyote 25 kuowa 45 si matusi
2026-09-06 07:10:29
0
kamuradju
CHICHARITO :
ma usthaz wana tuchanganya
2026-09-05 04:59:58
0
lulu897745
lulu89 :
takbiir,hakika shekh,wasituite
2026-10-02 10:34:03
0
user9618474377969
sauda Agarwal :
😂
2026-10-14 10:19:28
0
najahuabdulmalik
NAISWA_03 :
Shekh unaakili sana Allah akuzidishie maarifa na Umri akupe na mwisho mwema Inshaallah
2026-10-02 14:22:30
0
mimah.gy
Mimah Gy :
Kumbe mshangaz ni matusi?
2026-09-15 17:41:33
0
mariamsuleimani14
Mariam Suleimani :
sasa bya endahekana tulibitowa wapi tusha left group
2026-08-25 14:46:42
0
To see more videos from user @alamnutv, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About