@aly_tyga: LIFE BILA SIFA🛠️ •Ukubwa ni pamoja na kukubali kwamba huwezi kuwa wa maana kwenye macho ya kila mtu. •Ukishakuwa mkubwa utagundua kwamba. Ukimya ni bora sana kuliko mabishano. Kunamuda ni afadhali kunyamanza kuliko kuwaaminisha kuwa upo sahihi.